Waziri Mahiga akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini

Waziri Mahiga akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Mahiga akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Mahiga akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini
kiungo : Waziri Mahiga akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini

soma pia


Waziri Mahiga akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akizungumza na Balozi wa Italia nchini, Mhe. Roberto Mengoni alipomtembea katika ofisi za Wizara Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Novemba 2017.

Mazungumzo yao yalijikita katika kuimarisha uhusiano wa kihistoria na kidiplomasia uliopo baina ya Tanzania na Italia. Pia wamejadili mikakati ya kuboresha ushirikiano katika sekta ya elimu hususan elimu ya ufundi, miundombinu, utalii, biashara na uwekezaji. 
Mazungumzo ya Kiendelea. 


Hivyo makala Waziri Mahiga akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini

yaani makala yote Waziri Mahiga akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mahiga akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/waziri-mahiga-akutana-na-kufanya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Waziri Mahiga akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini"

Post a Comment