title : SPIKA JOB NDUGAI AONGOZA MAWAZIRI, WABUNGE NA VIONGOZI MBALI MBALI KATIKA MAZISHI YA ALIEKUWA MBUNGE WA SONGEA MJINI MAREHEMU MHE. LEONIDAS GAMA
kiungo : SPIKA JOB NDUGAI AONGOZA MAWAZIRI, WABUNGE NA VIONGOZI MBALI MBALI KATIKA MAZISHI YA ALIEKUWA MBUNGE WA SONGEA MJINI MAREHEMU MHE. LEONIDAS GAMA
SPIKA JOB NDUGAI AONGOZA MAWAZIRI, WABUNGE NA VIONGOZI MBALI MBALI KATIKA MAZISHI YA ALIEKUWA MBUNGE WA SONGEA MJINI MAREHEMU MHE. LEONIDAS GAMA
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akiongoza Mawaziri, Wabunge pamoja na viongozi mbali mbali wa serikali katika kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini marehemu Mhe. Leonidas Tutubert Gama katika tukio lililofanyika leo katika Mtaa wa Likuyufusi Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.
Viongozi mbali mbali waliofika kuuaga mwili wa aliekuwa Mbunge wa Songea Mjini Mhe. Leonidas Tutubert Gama katika tukio lililofanyika leo katika makaburi ya Likuyufusi Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.
Wanafamilia waliofika kuuaga mwili wa aliekuwa Mbunge wa Songea Mjini marehemu Mhe. Leonidas Tutubert Gama katika tukio lililofanyika leo katika makaburi ya Likuyufusi Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.
Viongozi mbali mbali waliofika kuuaga mwili wa aliekuwa Mbunge wa Songea Mjini Mhe. Leonidas Tutubert Gama katika tukio lililofanyika leo katika makaburi ya Likuyufusi Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala SPIKA JOB NDUGAI AONGOZA MAWAZIRI, WABUNGE NA VIONGOZI MBALI MBALI KATIKA MAZISHI YA ALIEKUWA MBUNGE WA SONGEA MJINI MAREHEMU MHE. LEONIDAS GAMA
yaani makala yote SPIKA JOB NDUGAI AONGOZA MAWAZIRI, WABUNGE NA VIONGOZI MBALI MBALI KATIKA MAZISHI YA ALIEKUWA MBUNGE WA SONGEA MJINI MAREHEMU MHE. LEONIDAS GAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA JOB NDUGAI AONGOZA MAWAZIRI, WABUNGE NA VIONGOZI MBALI MBALI KATIKA MAZISHI YA ALIEKUWA MBUNGE WA SONGEA MJINI MAREHEMU MHE. LEONIDAS GAMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/spika-job-ndugai-aongoza-mawaziri.html
0 Response to "SPIKA JOB NDUGAI AONGOZA MAWAZIRI, WABUNGE NA VIONGOZI MBALI MBALI KATIKA MAZISHI YA ALIEKUWA MBUNGE WA SONGEA MJINI MAREHEMU MHE. LEONIDAS GAMA"
Post a Comment