title : WAANDISHI WA HABARI MKOANI TANGA WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HIFADHI YA MAMLAKA YA NGORONGORO
kiungo : WAANDISHI WA HABARI MKOANI TANGA WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HIFADHI YA MAMLAKA YA NGORONGORO
WAANDISHI WA HABARI MKOANI TANGA WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HIFADHI YA MAMLAKA YA NGORONGORO
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali mkoani Tanga wakiingia kwenye hifadhi ya mamlaka ya Ngorongoro tayari kuanza ziara ya siku kumi ya mafunzo
Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Ngorongoro,Walter Mairo akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kabla ya kuanza ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali ya hifadhi wakati wa ziara yao ya siku kumi.
Afisa Uhusiano wa Mamlaka hiyo,Samweli Nsyuka akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea eneo la mchanga ambalo limekuwa likihama mara kwa mara
Waandishi wa habari,Mbaruku Yusuph wa gazeti la Tanzania Daima na Mbonea Hermani wa Star TV wakiangalia eneo la ambalo limegunduliwa fuvu la binadamu wa kwanza wakati wa ziara hiyo.
Afisa Uhusiano wa Mamlaka hiyo,Samweli Nsyuka kulia akitoa maelekezo kwa waandishi wa habari mara baada ya kutembelea Jumba hilo la Makumbusho .Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
Hivyo makala WAANDISHI WA HABARI MKOANI TANGA WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HIFADHI YA MAMLAKA YA NGORONGORO
yaani makala yote WAANDISHI WA HABARI MKOANI TANGA WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HIFADHI YA MAMLAKA YA NGORONGORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAANDISHI WA HABARI MKOANI TANGA WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HIFADHI YA MAMLAKA YA NGORONGORO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/waandishi-wa-habari-mkoani-tanga.html
0 Response to "WAANDISHI WA HABARI MKOANI TANGA WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HIFADHI YA MAMLAKA YA NGORONGORO"
Post a Comment