Tanzia : ALIYEKUWA MUME WA IRENE UWOYA NDIKUMANA HAMAD KATAUT AFARIKI DUNIA

Tanzia : ALIYEKUWA MUME WA IRENE UWOYA NDIKUMANA HAMAD KATAUT AFARIKI DUNIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tanzia : ALIYEKUWA MUME WA IRENE UWOYA NDIKUMANA HAMAD KATAUT AFARIKI DUNIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tanzia : ALIYEKUWA MUME WA IRENE UWOYA NDIKUMANA HAMAD KATAUT AFARIKI DUNIA
kiungo : Tanzia : ALIYEKUWA MUME WA IRENE UWOYA NDIKUMANA HAMAD KATAUT AFARIKI DUNIA

soma pia


Tanzia : ALIYEKUWA MUME WA IRENE UWOYA NDIKUMANA HAMAD KATAUT AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya soka ya Rayon Sports nchini Rwanda Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Kataut beki wa zamani wa Rayon Sports na mume wa muigizaji maarufu nchini, Irene Uwoya na kufanikiwa kupata mtoto mmoja amefariki dunia baada ya kuugua ghafla.

Taarifa kutoka Kigali, Rwanda zinaeleza Kataut alikuwa mazoezini jana asubuhi, kabla ya kifo chake mara ya mwisho aliichezea Stand United ya Shinyanga wakati akitokea Cyprus.


Alikuja nchini mara ya mwisho wakati wa Simba Day Agosti 8, akitua nchini Agosti 7 akiwa na kikosi cha Rayon ambacho kilicheza na Simba na kupoteza kwa bao 1-0.


Hivyo makala Tanzia : ALIYEKUWA MUME WA IRENE UWOYA NDIKUMANA HAMAD KATAUT AFARIKI DUNIA

yaani makala yote Tanzia : ALIYEKUWA MUME WA IRENE UWOYA NDIKUMANA HAMAD KATAUT AFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tanzia : ALIYEKUWA MUME WA IRENE UWOYA NDIKUMANA HAMAD KATAUT AFARIKI DUNIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/tanzia-aliyekuwa-mume-wa-irene-uwoya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Tanzia : ALIYEKUWA MUME WA IRENE UWOYA NDIKUMANA HAMAD KATAUT AFARIKI DUNIA"

Post a Comment