title : Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yatoa zawadi kwa wafanyakazi bora wa mwezi wa tisa na wa kumi
kiungo : Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yatoa zawadi kwa wafanyakazi bora wa mwezi wa tisa na wa kumi
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yatoa zawadi kwa wafanyakazi bora wa mwezi wa tisa na wa kumi
Daktari Bingwa wa Magojwa ya Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Naiz Majani akimkabidhi zawadi ya mfanyakazi bora wa mwezi wa tisa Adilla Musa ambaye ni mtunza kumbukumbu katika kikao cha asubuhi cha kujadili mabadiliko na maendeleo katika tasnia ya magonjwa ya moyo kinachofanyika kila jumatano katika Taasisi hiyo. Kulia ni Daktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo Tulizo Shemu na kushoto ni Meneja wa kampuni ya uuzaji wa dawa za binadamu na vifaa tiba ya Samiro, Masilamani Guru
Daktari Bingwa wa Magojwa ya Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Naiz Majani akimkabidhi zawadi ya Daktari bora wa mwezi wa kumi Siza Ngomero katika kikao cha asubuhi cha kujadili mabadiliko na maendeleo katika tasnia ya magonjwa ya moyo kinachofanyika kila jumatano katika Taasisi hiyo. Kulia ni Daktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo Tulizo Shemu na kushoto ni Meneja wa kampuni ya uuzaji wa dawa za binadamu na vifaa tiba ya Samiro, Masilamani Guru .
Daktari Bingwa wa Magojwa ya Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Naiz Majani akimkabidhi zawadi ya Mfanyakazi bora wa mwezi wa kumi Flora Kasembe ambaye ni Msimamizi wa Majengo kwenye kikao cha asubuhi cha kujadili mabadiliko na maendeleo katika tasnia ya magonjwa ya moyo kinachofanyika kila jumatano katika Taasisi hiyo. Kulia ni Daktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo Tulizo Shemu na kushoto ni Meneja wa kampuni ya uuzaji wa dawa za binadamu na vifaa tiba ya Samiro, Masilamani Guru .
Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia utoaji wa zawadi kwa wafanyakazi bora wa mwezi wa tisa na kumi kwenye kikao cha asubuhi cha kujadili mabadiliko na maendeleo katika tasnia ya magonjwa ya moyo kinachofanyika kila jumatano katika Taasisi hiyo.Picha na JKCI
Hivyo makala Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yatoa zawadi kwa wafanyakazi bora wa mwezi wa tisa na wa kumi
yaani makala yote Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yatoa zawadi kwa wafanyakazi bora wa mwezi wa tisa na wa kumi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yatoa zawadi kwa wafanyakazi bora wa mwezi wa tisa na wa kumi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/taasisi-ya-moyo-jakaya-kikwete-jkci.html
0 Response to "Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yatoa zawadi kwa wafanyakazi bora wa mwezi wa tisa na wa kumi"
Post a Comment