SHIRIKA LA PELUM TANZANIA NA HALMASHAURI YA MUFINDI KUTOA HATI MILIKI ZA KIMILA 795

SHIRIKA LA PELUM TANZANIA NA HALMASHAURI YA MUFINDI KUTOA HATI MILIKI ZA KIMILA 795 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHIRIKA LA PELUM TANZANIA NA HALMASHAURI YA MUFINDI KUTOA HATI MILIKI ZA KIMILA 795, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHIRIKA LA PELUM TANZANIA NA HALMASHAURI YA MUFINDI KUTOA HATI MILIKI ZA KIMILA 795
kiungo : SHIRIKA LA PELUM TANZANIA NA HALMASHAURI YA MUFINDI KUTOA HATI MILIKI ZA KIMILA 795

soma pia


SHIRIKA LA PELUM TANZANIA NA HALMASHAURI YA MUFINDI KUTOA HATI MILIKI ZA KIMILA 795

SHIRIKA la PELUM Tanzania kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa kupitia linatarajia kutoa hati miliki za kimila 795 kwa wananchi wa Vijiji vya  Ugesa, Isaula, Magunguli na Usokami na Mukungu waliopimiwa ardhi zao kupitia Mpango wa Matumizi bora ya ardhi.

Hayo yamesemwa jana (juzi) Wilayani Mufindi na Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Leonard Jaka  wakati wa zoezi la upitishaji wa mpango wa matumizi bora ya ardhi uliofanywa katika kijiji hicho na Shirika la PELUM Tanzania kupitia mradi wa Ushiriki wa wananchi katika Sekta ya Kilimo (CEGO).

Jaka alisema Wananchi wa kijiji cha Makungu pamoja na vijiji jirani katika Halmashauri hiyo kuchangamkia fursa hiyo ya kupima ardhi zao ili kuweza kuepekana na migogoro ya ardhi ambayo imekuwa ikiathiri shughuli za maendeleo ya wananchi Wilayani humo.

Jaka alisema mpango huo ni muhimu kwa kuwa unatoa kipaumbele kwa wajane, wagane, walemavu, wazee na watu wenye kipato cha chini kupata hati miliki ya ardhi na hivyo aliwataka wananchi ambao hawajapimiwa ardhi zao wahakikishe wanajipanga ili waweze kufikiwa na mpango huo.

“Kupimwa kwa ardhi zenu kutasaidia kuepukana na migogoro ya ardhi, kujihakikishia ulinzi wa ardhi,kuwa na umiliki halali wa kisheria wa ardhi, kuongezeka kwa thamani ya ardhi pamoja na kurahisisha upatakanaji wa mikopo kwa kuweka ardhi yako kama dhamana,” alisema Jaka.
 Mmoja wa wajumbe toka Kamati ya Usimamizi wa Mpango wa Matumizi ya Ardhi (VLUMC) ya Kijiji cha Makungu akiwasilisha Mpango pendekezwa wa Matumizi ya Ardhi ya Kijiji hicho wakati wa Mkutano wa pamoja uliojadili na kupitisha Mpango wa Matumizi bora ya ardhi katika Kijiji hicho. Mafunzo hayo yaliyofanyika juzi Kijijini hapo yalifadhiliwa na Shirika la PELUM Tanzania. 
Mwanasheria kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa Mufundi, Method Msokeve akiwasomea wananchi wa Kijiji cha Mukungu Wilayani humo sheria ndogondogo zitakatumika wakati wa mipango mbalimbali ya matumizi ya ardhi Wilayani humo. Mafunzo hayo yaliyofanyika juzi Kijijini hapo yalifadhiliwa na Shirika la PELUM Tanzania. 
 Timu ya wataalamu toka Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, na Wafanyakazi wa Shirika la PELUM Tanzania, pamoja na Viongozi wa Serikali za Vijiji vya Kiyowela, Idete na Makungu alama ya Mipaka inayotenganisha vijijiji hivyo kabla ya kufanyika kwa Mpango wa Matumizi ya Ardhi ya Kijiji cha Makungu. Mafunzo hayo yaliyofanyika juzi Kijijini hapo yalifadhiliwa na Shirika la PELUM Tanzania.

Baadhi ya vibao vilivyowekwa katika baadhi ya maeneo ya kijiji cha Mukungu yakionesha mgawanyo wa matumizi ya ardhi katika kila eneo husika. Mafunzo hayo yaliyofanyika juzi Kijijini hapo yalifadhiliwa na Shirika la PELUM Tanzania.



Hivyo makala SHIRIKA LA PELUM TANZANIA NA HALMASHAURI YA MUFINDI KUTOA HATI MILIKI ZA KIMILA 795

yaani makala yote SHIRIKA LA PELUM TANZANIA NA HALMASHAURI YA MUFINDI KUTOA HATI MILIKI ZA KIMILA 795 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA PELUM TANZANIA NA HALMASHAURI YA MUFINDI KUTOA HATI MILIKI ZA KIMILA 795 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/shirika-la-pelum-tanzania-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SHIRIKA LA PELUM TANZANIA NA HALMASHAURI YA MUFINDI KUTOA HATI MILIKI ZA KIMILA 795"

Post a Comment