title : PROF KAMBI AFUNGUA KONGAMANO LA NNE LA WADAU WA SEKTA YA AFYA NCHINI
kiungo : PROF KAMBI AFUNGUA KONGAMANO LA NNE LA WADAU WA SEKTA YA AFYA NCHINI
PROF KAMBI AFUNGUA KONGAMANO LA NNE LA WADAU WA SEKTA YA AFYA NCHINI
--
Mganga Mkuu wa Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Prof Mohamed Kambi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la nne la Wadau wa Sekta ya Afya nchini lililofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, ambalo lilipata fursa ya kujadili jinsi ya kuboresha utoaji wa huduma katika sekta ya Afya Tanzania.
Rais wa Kongamano laNne la Wadau wa Sekta ya Afya nchini, DK Omari Chilo akizungumza kabla ya kumaribisha mgeni rasmi wakati wa ufunguzi rasmi wa Kongamano la nne la wadau wa sekta hiyo lililofanyika Jijini Dar es Salaam leo.
Kiongozi Mkuu wa HDIF, David McGinty akizungumza katika Mdahalo wa mabadiliko ya Sayansi Ubunifu na Sera katika kuboresha utoaji wa huduma za Afya wakati waKongamano la nne la wadau wa Sekta ya Afya nchini
Mratibu wa wa Kongamano la 4 la Sekta ya Afya nchini Dr Peter Maduke akizungumza wakati wa kongamno hilo likiwa linaendelea katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala PROF KAMBI AFUNGUA KONGAMANO LA NNE LA WADAU WA SEKTA YA AFYA NCHINI
yaani makala yote PROF KAMBI AFUNGUA KONGAMANO LA NNE LA WADAU WA SEKTA YA AFYA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PROF KAMBI AFUNGUA KONGAMANO LA NNE LA WADAU WA SEKTA YA AFYA NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/prof-kambi-afungua-kongamano-la-nne-la.html
0 Response to "PROF KAMBI AFUNGUA KONGAMANO LA NNE LA WADAU WA SEKTA YA AFYA NCHINI"
Post a Comment