title : MDAHALO WA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE WAFANYIKA CHUO KIKUU CHA MZUMBE
kiungo : MDAHALO WA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE WAFANYIKA CHUO KIKUU CHA MZUMBE
MDAHALO WA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE WAFANYIKA CHUO KIKUU CHA MZUMBE
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, akitoa hotuba yake kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi katika Mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere uliofanyika Novemba 15 2017 chuoni hapo mkoani Morogoro.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere uliofanyoika katika Chuo Kikuu cha Mzumbe mkoani Morogoro.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro, akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Prof. Ganka Nyamsogoro, akitoa hotuba ya kumshukuru mgeni rasmi.
Sehemu ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi (hayupo pichani).
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Rainfrida Ngatunga (kulia), akifuatilia mada katika mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Julius Nyerere uliofanyika Novemba 15 chuoni hapo 2017.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MDAHALO WA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE WAFANYIKA CHUO KIKUU CHA MZUMBE
yaani makala yote MDAHALO WA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE WAFANYIKA CHUO KIKUU CHA MZUMBE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MDAHALO WA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE WAFANYIKA CHUO KIKUU CHA MZUMBE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mdahalo-wa-kumbukizi-ya-mwalimu-nyerere.html
0 Response to "MDAHALO WA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE WAFANYIKA CHUO KIKUU CHA MZUMBE"
Post a Comment