title : MAVUNDE AFUNGUA KONGAMANO LA VIONGOZI VIJANA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : MAVUNDE AFUNGUA KONGAMANO LA VIONGOZI VIJANA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR ES SALAAM
MAVUNDE AFUNGUA KONGAMANO LA VIONGOZI VIJANA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR ES SALAAM
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera , Bunge , Kazi, Vijana , ajira na Walemavu, Anthony Mavunde akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Viongozi Vijana Barani Afrika uliofanyika jijini Dar es Salaam leo, ambao umehudhuriwa na Vijana zaidi ya 100 kutoka Mataifa mbalimbali ,Kongamano hilo lilikuwa likijadili namna ya fursa zilizopo kwa Vijana katika kutumia rasilimali za nchi zao kama Viongozi katika kujiletea maendeleo
Mratibu wa kongamano hilo kutoka Taasisi ya The Open Society Initiative for Eastern Africa,Adam Anthony akizungumza kabl ya kumkaribisha Mgeni Rasmi kufungua kongamano hilo.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera , Bunge , Kazi, Vijana , ajira na Walemavu, Anthony Mavunde akiwa meza kuu pamoja na Mratibu wa kongamano hilo kutoka Tasisi ya The Open Society Initiative for Eastern Africa,Adam Anthony na Balozi wa Uholanzi nchini Lianne Houben
Balozi wa Uholanzi nchini Lianne Houben, akitoa neno kwa vijana kama mfadhili wa kongamano hilo lililowaleta Viongozi Vijana zaidi ya 100 kutoka bara la Afrika.
Hivyo makala MAVUNDE AFUNGUA KONGAMANO LA VIONGOZI VIJANA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote MAVUNDE AFUNGUA KONGAMANO LA VIONGOZI VIJANA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAVUNDE AFUNGUA KONGAMANO LA VIONGOZI VIJANA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mavunde-afungua-kongamano-la-viongozi.html
0 Response to "MAVUNDE AFUNGUA KONGAMANO LA VIONGOZI VIJANA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment