Madundo atangaza Kikosi cha Kombaini Unguja kitakachopambana na Zanzibar Heroes Kesho

Madundo atangaza Kikosi cha Kombaini Unguja kitakachopambana na Zanzibar Heroes Kesho - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Madundo atangaza Kikosi cha Kombaini Unguja kitakachopambana na Zanzibar Heroes Kesho, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Madundo atangaza Kikosi cha Kombaini Unguja kitakachopambana na Zanzibar Heroes Kesho
kiungo : Madundo atangaza Kikosi cha Kombaini Unguja kitakachopambana na Zanzibar Heroes Kesho

soma pia


Madundo atangaza Kikosi cha Kombaini Unguja kitakachopambana na Zanzibar Heroes Kesho

Kocha Ramadhan Abdulrahman " Madundo"

Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.

Kocha msaidizi wa Kombain ya Unguja Ramadhan Abdurahman “Madundo” ametangaza kikosi cha wachezaji 22 chini ya miaka 23 ambacho kinatarajia kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Taifa ya Soka ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) mchezo utakaopigwa kesho kutwa Alhamis Novemba 16, 2017 saa 10:00 za jioni katika uwanja wa Amaan.

WALINDA MLANGO
Haji Juma "Chafu" (JKU)
Suleiman Omar (Chuoni)

WALINZI 
Hassan Chalii (Kipanga)
Mwinjuma Mwinyi (JKU)
Ali Juma "Mabata" (Taifa ya Jang'ombe)
Ali Humud "Balii" (Jang'ombe Boys)
Haji Chareli (Mlandege)
Abdul-swamad Brown (Villa United)

VIUNGO
Sued Juma (JKU)
Suleiman Hassan "Kede" (KVZ)
Othman Abdallah (KVZ)
Hussein Mwinyi "Decco" (Kilimani City)
Hassan Cheda (Zimamoto)
Is-haka Said (KMKM)
Hassan Nassor "Abal" (Villa United)
Haroun Abdallah "Boban" (Miembeni City)

WASHAMBULIAJI
Amour Ali (Ngome)
Ahmed Maulid (Mafunzo)
Hafidh Bariki "Fii" (Jang'ombe Boys)
Abdul-hamid Juma "Samatta" (Mlandege)
Hassan Ramadhan (Mlandege)
Suleiman Masoud (Kwerekwe City)


Hivyo makala Madundo atangaza Kikosi cha Kombaini Unguja kitakachopambana na Zanzibar Heroes Kesho

yaani makala yote Madundo atangaza Kikosi cha Kombaini Unguja kitakachopambana na Zanzibar Heroes Kesho Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Madundo atangaza Kikosi cha Kombaini Unguja kitakachopambana na Zanzibar Heroes Kesho mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/madundo-atangaza-kikosi-cha-kombaini.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Madundo atangaza Kikosi cha Kombaini Unguja kitakachopambana na Zanzibar Heroes Kesho"

Post a Comment