title : KUMBUKUMBU YA KIFO CHA BARKHE MWINYI UBAYA
kiungo : KUMBUKUMBU YA KIFO CHA BARKHE MWINYI UBAYA
KUMBUKUMBU YA KIFO CHA BARKHE MWINYI UBAYA
Familia ya Mwinyi Ubaya inakumbuka kifo cha Barkhe M. Ubaya kilichotokea miaka minne iliyopita.
Unakumbukwa na Mumeo Ndg. Mwinyi Ubaya, watoto wako Salama na Rahma, Dada yako, Kaka yako, Mama yako, wifi zako, familia ya Magoha na Ubaya kwa ujumla pamoja na Ndugu, marafiki na jamaa.
Tunazidi kukuombea kwa Allah azidi kukupa kauli thabiti na makazi mema Akhera.
INNA LILLAH WAINNA LILLAH RAJIUN
Hivyo makala KUMBUKUMBU YA KIFO CHA BARKHE MWINYI UBAYA
yaani makala yote KUMBUKUMBU YA KIFO CHA BARKHE MWINYI UBAYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUMBUKUMBU YA KIFO CHA BARKHE MWINYI UBAYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/kumbukumbu-ya-kifo-cha-barkhe-mwinyi.html
0 Response to "KUMBUKUMBU YA KIFO CHA BARKHE MWINYI UBAYA"
Post a Comment