CHUO CHA KODI KUFANYA MAHAFALI YA KUMI JUMAMOSI NOVEMBA 18 2017

CHUO CHA KODI KUFANYA MAHAFALI YA KUMI JUMAMOSI NOVEMBA 18 2017 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHUO CHA KODI KUFANYA MAHAFALI YA KUMI JUMAMOSI NOVEMBA 18 2017, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHUO CHA KODI KUFANYA MAHAFALI YA KUMI JUMAMOSI NOVEMBA 18 2017
kiungo : CHUO CHA KODI KUFANYA MAHAFALI YA KUMI JUMAMOSI NOVEMBA 18 2017

soma pia


CHUO CHA KODI KUFANYA MAHAFALI YA KUMI JUMAMOSI NOVEMBA 18 2017

Chuo cha Kodi kitafanya mahafali ya Kumi Jumamosi tarehe 18 Novemba 2017 katika ukumbi wa chuo cha Kodi ambapo Mgeni rasmi katika mahafali hayo anatarajiwa kuwa Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango.

Katika mahafali hayo, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mpango atatunuku vyeti, stashahada na shahada kwa wahitimu 520 ambao wamefuzu masomo yao mwaka 2016/2017 na kusathili kutunukiwa vyeti.

Dkt. Mpango pia atatoa zawadi mbalimbali kwa wahitimu 12 waliofanya vizuri zaidi katika masomo ikiwa ni utaratibu ambao chuo kimejiwekea ili kutambua jitihada nzuri ambazo zimefanywa na wanafunzi hao pamoja na kuwashajihisha wanafunzi wanaoendelea na masomo kufanya vizuri zaidi katika masomo. 

Jumla ya anafunzi watakao tunukiwa vyeti, stashahada na shahada katika mahafali ya Kumi ya Chuo cha Kodi ni wahitimu 82 wa Cheti cha Uwakala wa Forodha cha Afrika Mashariki yaani the ‘East African Customs and Freight Forwarding Practising Certificate (EACFFPC). Wahitimu 39 wa Cheti cha Usimamizi wa Forodha na Kodi yaani ‘Basic Technician Certificate in Customs and Tax Management (CCTM). Stashahada ya Usimamizi wa Forodha na Kodi yaani ‘Diploma in Customs and Tax Management – (DCTM)’ wahitimu – 147, Shahada ya Usimamizi wa Forodha na Kodi yaani ‘Bachelor of Customs and Tax Management (BCTM)’ Wahitimu – 134, ‘East African Community Postgraduate Certificate in Customs Administration (PGCCA)’ wahitimu 85 na Stashahada ya Uzamili katika Kodi yaani ‘Postgraduate Diploma in Taxation (PGDT) wahitimu - 33

Pamoja na kutunuku vyeti stashahada, na shahada kwa wahitimu, Mgeni Rasmi pia atatoa tuzo kwa wahadhiri wa Chuo cha Kodi waliofanya tafiti mbalimbali katika kipindi cha mwaka wa masomo wa 2016/2017 na kuchapishwa katika majarida mbalimbali ya kitaaluma, ikiwa ni pamoja na jarida la Chuo cha Kodi yaani ‘Journal of the Institute of Tax Administration’ (JITA).
Mkuu wa Chuo cha Kodi (ITA,) Profesa Isaya Jairo akiongea na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu mahafali ya kumi ya chuo hicho yanayotarajiwa kufanyika chuoni hapo Jumamosi Novemba 18 2017. Kushoto ni Afisa Uhusiano Mkuu wa chuo, Oliver Njunwa. (Picha na Robert Okanda wa Okanda blogs) 
Mkuu wa Chuo cha Kodi (ITA) Profesa Isaya Jairo akiongea na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu mahafali ya kumi ya chuo hicho yanayotarajiwa kufanyika chuoni hapo Jumamosi Novemba 18 2017. Kulia ni Kaimu Naibu Mkuu wa Chuo (Utawala), Emmanuel Masalu na Afisa Uhusiano Mkuu wa chuo, Oliver Njunwa.



Hivyo makala CHUO CHA KODI KUFANYA MAHAFALI YA KUMI JUMAMOSI NOVEMBA 18 2017

yaani makala yote CHUO CHA KODI KUFANYA MAHAFALI YA KUMI JUMAMOSI NOVEMBA 18 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHUO CHA KODI KUFANYA MAHAFALI YA KUMI JUMAMOSI NOVEMBA 18 2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/chuo-cha-kodi-kufanya-mahafali-ya-kumi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "CHUO CHA KODI KUFANYA MAHAFALI YA KUMI JUMAMOSI NOVEMBA 18 2017"

Post a Comment