BCX YATOA ELIMU YA MATUMIZI YA KADI YAKE YA UHURU PAY KWA ABIRIA WA KIVUKONI NA TEGETA-NYUKI

BCX YATOA ELIMU YA MATUMIZI YA KADI YAKE YA UHURU PAY KWA ABIRIA WA KIVUKONI NA TEGETA-NYUKI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BCX YATOA ELIMU YA MATUMIZI YA KADI YAKE YA UHURU PAY KWA ABIRIA WA KIVUKONI NA TEGETA-NYUKI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BCX YATOA ELIMU YA MATUMIZI YA KADI YAKE YA UHURU PAY KWA ABIRIA WA KIVUKONI NA TEGETA-NYUKI
kiungo : BCX YATOA ELIMU YA MATUMIZI YA KADI YAKE YA UHURU PAY KWA ABIRIA WA KIVUKONI NA TEGETA-NYUKI

soma pia


BCX YATOA ELIMU YA MATUMIZI YA KADI YAKE YA UHURU PAY KWA ABIRIA WA KIVUKONI NA TEGETA-NYUKI


Wakala wa Kampuni ya BCX, Neema Urassa (katikati) akitoa Elimu kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam eneo la Feri walipotembelea banda lao lililokuwa likitoa huduma za mfumo mpya wa kielektroniki wa malipo ya nauli uliozinduliwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya usafiri wa Daladala.
Wakala wa Kampuni ya Business Connexion (BCX), akiwakabishi vipeperushi wakazi wa Tegeta Nyuki, ambavyo vinatoa maelezo kuhusu huduma mpya ya malipo ya nauli za daladala kielektroniki ijulikanayo kama ‘Uhuru Pay’ iliyozinduliwa na BCX hivi karibuni jijini Dar es salaam.

Msimamizi wa mfumo mpya wa kielektroniki wa malipo ya nauli katika usafiri wa Daladala kwa kutumia Kadi au Stika unaotolewa na Kampuni ya BCX, Andrew Wayayu (watatu kushoto) akizungumza na Dereva na kondakta walipokuwa wakitoa elimu kuhusu mfumo mpya wa kielektroniki wa malipo ya nauli katika usafiri wa Daladala.


Hivyo makala BCX YATOA ELIMU YA MATUMIZI YA KADI YAKE YA UHURU PAY KWA ABIRIA WA KIVUKONI NA TEGETA-NYUKI

yaani makala yote BCX YATOA ELIMU YA MATUMIZI YA KADI YAKE YA UHURU PAY KWA ABIRIA WA KIVUKONI NA TEGETA-NYUKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BCX YATOA ELIMU YA MATUMIZI YA KADI YAKE YA UHURU PAY KWA ABIRIA WA KIVUKONI NA TEGETA-NYUKI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/bcx-yatoa-elimu-ya-matumizi-ya-kadi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BCX YATOA ELIMU YA MATUMIZI YA KADI YAKE YA UHURU PAY KWA ABIRIA WA KIVUKONI NA TEGETA-NYUKI"

Post a Comment