RC MAKONDA AWAONGOZA WAKUUWA TAASI NA ULINZI NA USALMA, KUONA MAENEO YA UJENZI WA SHOWROOM ZA MAGARI KIGAMBONI, ARDHISHA NA MAENDELEO YA UCHUKUAJI MAENEO

RC MAKONDA AWAONGOZA WAKUUWA TAASI NA ULINZI NA USALMA, KUONA MAENEO YA UJENZI WA SHOWROOM ZA MAGARI KIGAMBONI, ARDHISHA NA MAENDELEO YA UCHUKUAJI MAENEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAKONDA AWAONGOZA WAKUUWA TAASI NA ULINZI NA USALMA, KUONA MAENEO YA UJENZI WA SHOWROOM ZA MAGARI KIGAMBONI, ARDHISHA NA MAENDELEO YA UCHUKUAJI MAENEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAKONDA AWAONGOZA WAKUUWA TAASI NA ULINZI NA USALMA, KUONA MAENEO YA UJENZI WA SHOWROOM ZA MAGARI KIGAMBONI, ARDHISHA NA MAENDELEO YA UCHUKUAJI MAENEO
kiungo : RC MAKONDA AWAONGOZA WAKUUWA TAASI NA ULINZI NA USALMA, KUONA MAENEO YA UJENZI WA SHOWROOM ZA MAGARI KIGAMBONI, ARDHISHA NA MAENDELEO YA UCHUKUAJI MAENEO

soma pia


RC MAKONDA AWAONGOZA WAKUUWA TAASI NA ULINZI NA USALMA, KUONA MAENEO YA UJENZI WA SHOWROOM ZA MAGARI KIGAMBONI, ARDHISHA NA MAENDELEO YA UCHUKUAJI MAENEO

Na. John Luhende 
 mwambawahabari
Wakuu wa taasi mbalimbali na na vyombo vya ulinzi na usalama  wakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam , Mhe Paul Makonda , wametembelea eneo la mradi wa viwanja zitakapo jengwa  yard za kuuza magari katika eneo la kisarawe II manispaa ya kigamboni kwaajili ya kuchukua maeneo ya kutoa huduma katika eneo hilo .


Mkurugenzi wa kampuni ya Property Internation Harim Zahrani wakwanza kulia,akionyesha ramani kwa mkuu wa mkoa wapili kutoka upande wa kulia ,watatu kulia ni mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe. Hashimu Mgandilwa baada ya afsa wa mageza  ayefuata ni mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni  Steaven Katemba .(Picha zote na John Luhende)


Akizungumza na wakuu hao Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mhe. Paul Makonda amesema  mpango wa kuhamisha showrom (yard za magari )ukopalepale ifikapo mwezi January wauza magari wote wanatakiwa kuwa nasehemu zao katika eneo hilo, na akawataka wafanyabiashara kuchangamkia fursa hiyo ambapo sasa wanapewa maeneo wafanya biashara bure hadi miaka  mitatu.

Mkurugenzi wa Property  International Akimwonyesha mhe Makonda  na wakuu walifika katika eneo hilo kuona maeneo ya ujenzi wa sehemu za kutoa huduma( Picha na John Luhende)

Aidha  Makonda , amesema kuwa lengo kuhamishia Showroom Kigamboni ni kufanya Kigamboni kuwa soko la Magari Africa, kuwapa Wananchi fursa ya kuchagua gari analotaka kwenye  eneo moja, kuiwezesha Serikali kupata mapato na kupunguza wizi wa magari.



     Rc Makonda akikagua miundo mbinu ya barabara  inayo jengwa katikakatika eneo hilo il liweze kufikika kirahisi(Picha na John Luhende)

Akiwa kwenye eneo hilo ameshuhudia ujenzi wa miundombinu ya Barabara, Madaraja, Umeme na Maji ikienda kwa kasi kubwa.

Tayari  mbaadhi ya Taasisi na wenye Showroom waliokabidhiwa maeneo wameanza kujenga ili kuhakikisha  ifikapo January Mosi  wanakuwa wamehamisha Showroom zao.

Ndani ya eneo hilo kutakuwa na ofisi za Taasisi zote zinazohusiana na biashara ya Magari ikiwemo nTRA, TPA, SUMATRA, Bank, NSSF,Bima, Jeshi la Polisi, Jeshi la Zimamoto na uokoaji, Garage, vituo vya kuuza mafuta, na Wauzaji wa Vipuri vya Magari.

Kwa upande wake Kamanda wa Polisi kanada maalumu ya Dar es salaam,Kamishina msaidizi  mwandamizi wa polisi Lazaro Mambo Sasa, amesema Jeshila polisi ,litahakikisha usalama unakuwa wa kutosha katika eneo hilo na kuwatoa hofu wawekezaji wote kuhusu usalama wa malizao kwa kuwa wao watajega kituo kikubwa cha polisi katika eneo hilo.

Naye  mkurugenzi wa Kampuni ya Property international Harim Zahrani amewata wafanya biashara  kuchangamkia maeneo ha yo na kusema kuwa bado kuna maeneo ya kutosha na wanawakarisha wote wenye lengo la kuwekeza kigamboni.


Hivyo makala RC MAKONDA AWAONGOZA WAKUUWA TAASI NA ULINZI NA USALMA, KUONA MAENEO YA UJENZI WA SHOWROOM ZA MAGARI KIGAMBONI, ARDHISHA NA MAENDELEO YA UCHUKUAJI MAENEO

yaani makala yote RC MAKONDA AWAONGOZA WAKUUWA TAASI NA ULINZI NA USALMA, KUONA MAENEO YA UJENZI WA SHOWROOM ZA MAGARI KIGAMBONI, ARDHISHA NA MAENDELEO YA UCHUKUAJI MAENEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA AWAONGOZA WAKUUWA TAASI NA ULINZI NA USALMA, KUONA MAENEO YA UJENZI WA SHOWROOM ZA MAGARI KIGAMBONI, ARDHISHA NA MAENDELEO YA UCHUKUAJI MAENEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/rc-makonda-awaongoza-wakuuwa-taasi-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC MAKONDA AWAONGOZA WAKUUWA TAASI NA ULINZI NA USALMA, KUONA MAENEO YA UJENZI WA SHOWROOM ZA MAGARI KIGAMBONI, ARDHISHA NA MAENDELEO YA UCHUKUAJI MAENEO"

Post a Comment