title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Balozi wa Uganda Ikulu Zanzibar leo.
kiungo : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Balozi wa Uganda Ikulu Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Balozi wa Uganda Ikulu Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi wa Uganda katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Richard Mabonero leo alipofika Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 17/10 /2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Uganda katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Richard Mabonero, alipofika Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na mgeni wake Balozi wa Uganda katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Richard Mabonero, alipofika Ikulu Mjini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Balozi wa Uganda katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Richard Mabonero, alipofika Ikulu Mjini Unguja leo baada ya mazungumzo yao,[Picha na Ikulu.]
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Balozi wa Uganda Ikulu Zanzibar leo.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Balozi wa Uganda Ikulu Zanzibar leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Balozi wa Uganda Ikulu Zanzibar leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_25.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Balozi wa Uganda Ikulu Zanzibar leo."
Post a Comment