Rais Dk Shein mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani

Rais Dk Shein mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Dk Shein mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Dk Shein mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani
kiungo : Rais Dk Shein mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani

soma pia


Rais Dk Shein mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed mara alipowasili katika Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani leo katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali leo wakati  alipowasili katika Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Dkt.Islam Seif Salum (Mchenga) wakati  alipowasili katika Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akifungua pazia kufungua   Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani leo katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja (kulia) Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed ,[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.
 Baadhi ya Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mwanamwema Shein (katikati) akiwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (kulia) pamoja na  Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed katika sherehe za  Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani yaliyofunguliwa leo katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.

 Baadhi ya Vijana waliovalia sare na Wananchi wakiwa katika sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.
 Wanafunzi wa Skuli ya Dole wakiwa katika  sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 10/10/2017
 Baadhi ya Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.
 Taasisi ya utafiti wa kilimo Zanzibar wakionesha kazi zao wanazofanya katika maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi mbali mbali na Viongozi waliohudhuria katika maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja alipoyafungua leo, [Picha na Ikulu.] 10/10/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi wakiwa picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya maandalizi ya  maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja  leo baada ya kufunguliwa rasmi na Mhe.Rais Shein, [Picha na Ikulu.] 10/10/2017.


Hivyo makala Rais Dk Shein mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani

yaani makala yote Rais Dk Shein mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/rais-dk-shein-mgeni-rasmi-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Rais Dk Shein mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani"

Post a Comment