Masauni ataka mkandarasi achukuliwe hatua kwa kuutelekeza mradi wa mabilioni Gereza Idete

Masauni ataka mkandarasi achukuliwe hatua kwa kuutelekeza mradi wa mabilioni Gereza Idete - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Masauni ataka mkandarasi achukuliwe hatua kwa kuutelekeza mradi wa mabilioni Gereza Idete, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Masauni ataka mkandarasi achukuliwe hatua kwa kuutelekeza mradi wa mabilioni Gereza Idete
kiungo : Masauni ataka mkandarasi achukuliwe hatua kwa kuutelekeza mradi wa mabilioni Gereza Idete

soma pia


Masauni ataka mkandarasi achukuliwe hatua kwa kuutelekeza mradi wa mabilioni Gereza Idete

Na Felix Mwagara (MOHA)

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amelitaka Jeshi la Magereza kumchukulia hatua kali Mkandarasi wa mradi mkubwa wa umwagiliaji wa Gereza la Kilimo Idete wilayani Kilombero endapo atabainika alifanya makosa kwa kuutelekeza mradi huo.

Mradi huo ambao ungesaidia kuendeleza kilimo cha mpunga na mahindi kwa zaidi ya ekari 1000, unathamani ya zaidi ya Bilioni 2.5 ambapo ulianza kujengwa mwaka 2013 mara bada ya Serikali kumpa Mkandarasi huyo wa Kampuni ya Tanzania Building Works ya Dar es Salaam, zaidi ya Bilioni 1 ili kuufanikisha mradi huo katika hatua ya awali. 

Akizungumza mara baada ya kuukagua mradi huo uliopo Idete mkoani Morogoro, Masauni alisema Serikali ya Awamu ya Tano haitakubali uzembe huo kwa fedha za Serikali kuchezewa huku mradi huo haujakamilika.

Masauni alilitaka Jeshi la Magereza kuhakikisha Mkandarasi huyo ambaye fedha alizopewa haziendani na ukubwa wa kazi alizozifanya, achunguzwe haraka iwezekanavyo na endapo ikibainika amefanya makosa hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake.

“Fedha ni nyingi alizopewa, zaidi ya bilioni moja za Serikali zimetolewa, na ukiangalia ukubwa wa kazi aliyoifanya haiendani na thamani ya fedha hizo, hivyo hatuwezi kuvumilia na kuona fedha za Serikali zikichezewa, nahitaji huyu mkandarasi achunguzwe na ikithibitika amefanya makosa hatua za kisheria zichukuliwe,” alisema Masauni na kuongeza;

“Fedha zilizotumika ni nyingi halafu mkandarasi huyo eti anaondoka kwasababu ambayo inayojulikana akisingizia kuwa ukosefu wa fedha, Serikali haiwezi ikachezewa, tendo la kuchelewa kwa mradi huu ameitia hasara kubwa Serikali.” 



Hivyo makala Masauni ataka mkandarasi achukuliwe hatua kwa kuutelekeza mradi wa mabilioni Gereza Idete

yaani makala yote Masauni ataka mkandarasi achukuliwe hatua kwa kuutelekeza mradi wa mabilioni Gereza Idete Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Masauni ataka mkandarasi achukuliwe hatua kwa kuutelekeza mradi wa mabilioni Gereza Idete mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/masauni-ataka-mkandarasi-achukuliwe.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Masauni ataka mkandarasi achukuliwe hatua kwa kuutelekeza mradi wa mabilioni Gereza Idete"

Post a Comment