title : MAMA ZAKHI A MEGHJI AFUNGUA MKUTANO WA 36 WA CHAMA CHA GIRL GUIDES & GIRL SCOUTS DUNIANI NCHINI INDIA
kiungo : MAMA ZAKHI A MEGHJI AFUNGUA MKUTANO WA 36 WA CHAMA CHA GIRL GUIDES & GIRL SCOUTS DUNIANI NCHINI INDIA
MAMA ZAKHI A MEGHJI AFUNGUA MKUTANO WA 36 WA CHAMA CHA GIRL GUIDES & GIRL SCOUTS DUNIANI NCHINI INDIA
Mjumbe wa Bodi ya Udhamini ya Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Mama Zakhia Meghji akiwa na vioongozi wa Girl Guides na Girl Scouts wa Ulimwengu (WAGGGS) akiwasha mshumaa kuashiria ufunguzi rasmi wa Mkutano Mkuu wa wa 36 wa WAGGGS nchini India. Meghji alimwakilisha Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan aliyepangwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano huo wa kimataifa. Mama Samia ni Mlezi wa TGGA.
Mkutano huo hufanyika kila baada ya miaka mitatu na mara ya mwisho ulifanyika Honkong. Kuwashwa mshumaa ni nuru ya moyo wa kujitolea katika juhudi za kuwafikia wasichana wengi zaidi popote walipo mjini na vijijini. Mkutano huo ulifanyika kuanzia Septemba 18 hadi 23 mwaka huu.
Mama Zakhia Meghji akiwa na Balozi wa Tanzania nchini India Mhe. Baraka Luvanda wakipambwa kwa nyimbo walipokuwa wakiingia ukumbini.
Mjumbe wa Bodi ya Udhamini ya Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Mama Zakhia Meghji akisoma hotuba wakati wa ufunguzi rasmi wa Mkutano Mkuu wa wa 36 wa WAGGGS nchini India.
Waliokaa kutoka kulia ni Balozi wa Tanzania nchini India Mhe. Baraka Luvanda, Mama Zakhia Meghji, Mama Martha Qorro ambaye ni Mwenyekiti wa TGGA. Waliosimama wa pili kushoto ni Aika wa Afrika Kusini, kushoto kwake ni Maryam Mjema wa TGGA Kamishna wa Mambo ya Nje, Kamishna Mkuu wa TGGA, Symphorosa Hangi Nicola Grinstead Mwenyekiti wa Bodi ya WAGGGS.
Hivyo makala MAMA ZAKHI A MEGHJI AFUNGUA MKUTANO WA 36 WA CHAMA CHA GIRL GUIDES & GIRL SCOUTS DUNIANI NCHINI INDIA
yaani makala yote MAMA ZAKHI A MEGHJI AFUNGUA MKUTANO WA 36 WA CHAMA CHA GIRL GUIDES & GIRL SCOUTS DUNIANI NCHINI INDIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAMA ZAKHI A MEGHJI AFUNGUA MKUTANO WA 36 WA CHAMA CHA GIRL GUIDES & GIRL SCOUTS DUNIANI NCHINI INDIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/mama-zakhi-meghji-afungua-mkutano-wa-36.html
0 Response to "MAMA ZAKHI A MEGHJI AFUNGUA MKUTANO WA 36 WA CHAMA CHA GIRL GUIDES & GIRL SCOUTS DUNIANI NCHINI INDIA"
Post a Comment