KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AHIMIZA WANAWAKE KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA KIUCHUMI WILAYANI MVOMERO

KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AHIMIZA WANAWAKE KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA KIUCHUMI WILAYANI MVOMERO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AHIMIZA WANAWAKE KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA KIUCHUMI WILAYANI MVOMERO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AHIMIZA WANAWAKE KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA KIUCHUMI WILAYANI MVOMERO
kiungo : KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AHIMIZA WANAWAKE KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA KIUCHUMI WILAYANI MVOMERO

soma pia


KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AHIMIZA WANAWAKE KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA KIUCHUMI WILAYANI MVOMERO


Na Kitengo cha Mawasiliano serikalini WAMJW

Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga amewahimiza wanawake nchini kujiunga na vikundi vya kiuchumi katika kujiletea maendeleo.Ameyasema hayo alipokuwa akifunga mafunzo ya majaribio ya kuhamisha wanawake kuanzisha na kujiunga na vikundi vya kiuchumi yaliyofanyika katika wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro.

Bibi Sihaba amesema kuhamasisha wanawake kuanzisha na kujiunga na vikundi vya kiuchumi ni moja ya jitihada za utekelezaji wa Sera ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia ya mwaka 2000; Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto (2017/2022); Mpango wa Taifa wa Pili wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2015/2021); na Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015.

Ameongeza kuwa mwongozo wa uanzishaji wa vikoba utasaidia pia kuwa na takwimu za taarifa sahihi za vikundi kwa ajili ya uchambuzi na kujenga hoja kuhusu maamuzi ya ushiriki na uzingatiaji wa nafasi ya wanawake katika fursa mbalimbali.

“Nijukumu la kila Mtaalamu wa Maendeleo ya Jamii kuhakikisha mwongozo huu unatekelezwa ipasavyo na kuleta matokeo yaliyotarajiwa ya kuwawezesha wanawake kiuchumi ikiwemo kuboresha hali ya maisha yao” alisema Bibi Sihaba. Akiongea katika kikao hicho, Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jinsia Bw. Julius Mbilinyi amefafanua kuwa vikundi vingi vimekuwa vikiendeshwa bila kuwa na mwongozo na pia ukosefu wa elimu ya uendeshaji.
Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga(katikati) akizungumza na washiriki wa mafunzo ya majaribio ya mwongozo wa kuhamasisha wanawake kuanzisha na kujiunga na vikundi vya kiuchumi yaliyofanyika wilayani Mvomero mkoani Morogoro.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya majaribio ya mwongozo wa kuhamasisha wanawake kuanzisha na kujiunga na vikundi vya kiuchumi wakimsikiliza Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga( hayupo pichani) wakati wa kuhitimisha mafunzo hayo yaliyofanyika wilayani Mvomero mkoani Morogoro.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jinsia Bw. Julius Mbilinyi akifafanua jambo katika mafunzo ya majaribio ya mwongozo wa kuhamasisha wanawake kuanzisha na kujiunga na vikundi vya kiuchumi yaliyofanyika wilayani Mvomero mkoani Morogoro.
Mwezeshaji kutoka Shirika la Care Tanzania Bi Zenais Matemu akitoa mada katika Mafunzo ya majaribio ya mwongozo wa kuhamasisha wanawake kuanzisha na kujiunga na vikundi vya kiuchumi yaliyofanyika wilayani Mvomero mkoani Morogoro.



Hivyo makala KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AHIMIZA WANAWAKE KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA KIUCHUMI WILAYANI MVOMERO

yaani makala yote KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AHIMIZA WANAWAKE KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA KIUCHUMI WILAYANI MVOMERO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AHIMIZA WANAWAKE KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA KIUCHUMI WILAYANI MVOMERO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/katibu-mkuu-sihaba-nkinga-ahimiza.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AHIMIZA WANAWAKE KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA KIUCHUMI WILAYANI MVOMERO"

Post a Comment