KAMATI MAALUMU YA MPIRA WA SAMATA, YALAANI VIKALI KUKATWA MKONO ALBINO MWENZAO MZEE NASORO MKOANI MOROGORO

KAMATI MAALUMU YA MPIRA WA SAMATA, YALAANI VIKALI KUKATWA MKONO ALBINO MWENZAO MZEE NASORO MKOANI MOROGORO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMATI MAALUMU YA MPIRA WA SAMATA, YALAANI VIKALI KUKATWA MKONO ALBINO MWENZAO MZEE NASORO MKOANI MOROGORO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMATI MAALUMU YA MPIRA WA SAMATA, YALAANI VIKALI KUKATWA MKONO ALBINO MWENZAO MZEE NASORO MKOANI MOROGORO
kiungo : KAMATI MAALUMU YA MPIRA WA SAMATA, YALAANI VIKALI KUKATWA MKONO ALBINO MWENZAO MZEE NASORO MKOANI MOROGORO

soma pia


KAMATI MAALUMU YA MPIRA WA SAMATA, YALAANI VIKALI KUKATWA MKONO ALBINO MWENZAO MZEE NASORO MKOANI MOROGORO

Image result for PICHA ZA SAMATA NA ALBINO
Mwambawahabari
Kamati Maalum ya Kuhamasisha Jamii kuwajali na kuwathamini watu wenye Ualbino kwa njia ya Mpira wa Samatta imelaani vikali tukio la kukatwa mkono Mzee Nassoro Msingili(75) lililotokea Oktoba 3 mwaka huu mkoani Morogoro.

Aidha, imesema kitendo hicho ni cha kinyama na hakikubaliki hata kidogo na kuiomba Serikakali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dk John Magufuli kuchukua hatua madhubuti kukomesha vitendo vya kuwadharau watu hao kwani wanastahili kuishi kama binadamu wengine.

Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa kamati hiyo ambaye pia ni Mkurugenzi wa taasisi ya Albino Enterpses of Dar es Salaam, Michael Lugendo wakati akitoa ufafanuzi wa tukio hilo.

Amesema vitendo hivyo vimeshindwa kufikia ukomo kutokana na jamii kuendelea kuendekeza dhana potofu zinazochangia mauaji wa watu wenye ualbino huku akiwaomba watu wenye mapenzi mema na jamii ya watu hao kuunga mkono kampeni ya kuwajali na kuwathamini maalbino ili waweze kusambaza elmu ya kutokomeza imani za kishirikina zinazosababisha maovu hayo.

A mebainisha kuwa kamati hiyo inampongeza Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei  ambaye  pia ni mjumbe wa kamati kwa kuchukua hatua za haraka na kuwakamata watuhumiwa wa mauaji hayo hadi sasa.
Amewashukuru wadau mbalimbali zikiwemo kampuni na vyombo vya habari kwa ushirikiano mkubwa wanaoendelea kuutoa.


Hivyo makala KAMATI MAALUMU YA MPIRA WA SAMATA, YALAANI VIKALI KUKATWA MKONO ALBINO MWENZAO MZEE NASORO MKOANI MOROGORO

yaani makala yote KAMATI MAALUMU YA MPIRA WA SAMATA, YALAANI VIKALI KUKATWA MKONO ALBINO MWENZAO MZEE NASORO MKOANI MOROGORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI MAALUMU YA MPIRA WA SAMATA, YALAANI VIKALI KUKATWA MKONO ALBINO MWENZAO MZEE NASORO MKOANI MOROGORO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/kamati-maalumu-ya-mpira-wa-samata.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KAMATI MAALUMU YA MPIRA WA SAMATA, YALAANI VIKALI KUKATWA MKONO ALBINO MWENZAO MZEE NASORO MKOANI MOROGORO"

Post a Comment