JINSI MVUA ILIVYOLETA MAFURIKO DAR ES SALAAM

JINSI MVUA ILIVYOLETA MAFURIKO DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JINSI MVUA ILIVYOLETA MAFURIKO DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JINSI MVUA ILIVYOLETA MAFURIKO DAR ES SALAAM
kiungo : JINSI MVUA ILIVYOLETA MAFURIKO DAR ES SALAAM

soma pia


JINSI MVUA ILIVYOLETA MAFURIKO DAR ES SALAAM

mwambawahabari
Mvua inayoendelea kunyesha katika jiji la Dar es salaam, zimesababisha mafuriko makubwa katika maeneo mbalimbali Jijini humo, ikiwemo eneo la Jangwani ambapo maji hayo yamefunga mawasiliano ya barabara, hakuna gari inayokwenda wala kurudi mjini.

Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema amefika katika eneo hilo nakuwataka wananchi kuondoka katika maeneo hayo kwasasa kwakuwa maji yanaendelea kuongezeka.






Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema amefika katika eneo hilo nakuwataka wananchi kuondoka katika maeneo hayo kwa sasa kwa kuwa maji yanaendelea kuongezeka.
Mbunge wa Ilala Musa Zungu amefika na kueleza kuwa mafuriko hayo ni makubwa ingawa mpaka sasa hawajapata takwimu sahihi ya uharibifu unaotokana na mafuriko hayo.




Hivyo makala JINSI MVUA ILIVYOLETA MAFURIKO DAR ES SALAAM

yaani makala yote JINSI MVUA ILIVYOLETA MAFURIKO DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JINSI MVUA ILIVYOLETA MAFURIKO DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/jinsi-mvua-ilivyoleta-mafuriko-dar-es.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JINSI MVUA ILIVYOLETA MAFURIKO DAR ES SALAAM"

Post a Comment