title : DK.SHEIN AWAPONGEZA WANAFUNZI WALIOFAULU DARAJA LA KWANZA KIDATO CHA NNE NA SITA
kiungo : DK.SHEIN AWAPONGEZA WANAFUNZI WALIOFAULU DARAJA LA KWANZA KIDATO CHA NNE NA SITA
DK.SHEIN AWAPONGEZA WANAFUNZI WALIOFAULU DARAJA LA KWANZA KIDATO CHA NNE NA SITA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja leo katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na Kidato cha Sita (2017)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapunga mkono wakati alipofuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja leo katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na Kidato cha Sita (2017)
Baadhi ya Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na Kidato cha Sita (2017),wakiwa katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja katika hafla ya kupongezwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ambapo Dk.Shein aliwaandalia chakula cha mchana na kuwapa zawadi wanafunzi bora kimasomo 2016/2017,[Picha na Ikulu.] 17/10/2017.
Hivyo makala DK.SHEIN AWAPONGEZA WANAFUNZI WALIOFAULU DARAJA LA KWANZA KIDATO CHA NNE NA SITA
yaani makala yote DK.SHEIN AWAPONGEZA WANAFUNZI WALIOFAULU DARAJA LA KWANZA KIDATO CHA NNE NA SITA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN AWAPONGEZA WANAFUNZI WALIOFAULU DARAJA LA KWANZA KIDATO CHA NNE NA SITA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/dkshein-awapongeza-wanafunzi-waliofaulu.html
0 Response to "DK.SHEIN AWAPONGEZA WANAFUNZI WALIOFAULU DARAJA LA KWANZA KIDATO CHA NNE NA SITA"
Post a Comment