UMOJA WA MASOKO MKOA WA DAR ES SALAAM WACHANGIA VYAKULA KWA AJILI YA WAFYATUAJI TOFALI

UMOJA WA MASOKO MKOA WA DAR ES SALAAM WACHANGIA VYAKULA KWA AJILI YA WAFYATUAJI TOFALI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UMOJA WA MASOKO MKOA WA DAR ES SALAAM WACHANGIA VYAKULA KWA AJILI YA WAFYATUAJI TOFALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UMOJA WA MASOKO MKOA WA DAR ES SALAAM WACHANGIA VYAKULA KWA AJILI YA WAFYATUAJI TOFALI
kiungo : UMOJA WA MASOKO MKOA WA DAR ES SALAAM WACHANGIA VYAKULA KWA AJILI YA WAFYATUAJI TOFALI

soma pia


UMOJA WA MASOKO MKOA WA DAR ES SALAAM WACHANGIA VYAKULA KWA AJILI YA WAFYATUAJI TOFALI

MUUNGANO wa Umoja wa Masoko ya Mkoa wa Dar es Salaam (MUMADA) wakiongozwa na Mwenyekiti wao Mohamed Mwekya wamekabidhi kilo za mchele 2835, Kilo 600 za Maharage pamoja Chumvi kwa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kwa lengo la kuunga mkono jitihada za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda katika ujenzi wa ofisi za walimu.


Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo Mwenyekiti wa MUMADA, Mwekya amesema kuwa wao kama wafanyabishara wameguswa na harakati za RC Makonda katika kuboresha elimu hususani mazingira ya walimu, hivyo wameamua kutoa mchango wao huo ambao wana imani utasaidia.

Mwekya amesema wataendelea kushirikiana na na serikali katika shughuli mbalimbali za maendeleo na kuwataka wadau wengine wa maendeleo waunge mkono jitihada hizo zenye lengo ya kuboresha elimu kwa walimu kukaa ofisi zenye hadhi na taaluma yao.

Nae Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii na Vijana, Mwajuma Magwiza amesema kuwa mchango huo utakwenda kwa shughuli iliyokusudiwa na wana imani kila mmoja akijitolea watatimiza lengo la kujenga ofisi 19 za walimu katika wilaya ya Kinondoni.
 Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii na Vijana, Mwajuma Magwiza akipokea msaada vya vyakula kutoka kwa Mwenyekiti wa MUMADA, Mohamed Mwekya ikiwa kuunga mkono jitihada za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda katika ujenzi wa ofisi za walimu.

 Sehemu ya msaada vyakula kwa ajili ya watu wataofyatua tofali kwa ajili ya ujenzi ofisi za walimu.

.Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii na Vijana, Mwajuma Magwiza akiwa katika ya pamoja na Muungano wa Umoja wa Masoko ya Mkoa wa Dar es Salaam (MUMADA) leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii)






Hivyo makala UMOJA WA MASOKO MKOA WA DAR ES SALAAM WACHANGIA VYAKULA KWA AJILI YA WAFYATUAJI TOFALI

yaani makala yote UMOJA WA MASOKO MKOA WA DAR ES SALAAM WACHANGIA VYAKULA KWA AJILI YA WAFYATUAJI TOFALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UMOJA WA MASOKO MKOA WA DAR ES SALAAM WACHANGIA VYAKULA KWA AJILI YA WAFYATUAJI TOFALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/umoja-wa-masoko-mkoa-wa-dar-es-salaam.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UMOJA WA MASOKO MKOA WA DAR ES SALAAM WACHANGIA VYAKULA KWA AJILI YA WAFYATUAJI TOFALI"

Post a Comment