title : TAMASHA LA MUZIKI WA ZAMANI KUFANYIKA KESHO SEPTEMBA 22,2017.
kiungo : TAMASHA LA MUZIKI WA ZAMANI KUFANYIKA KESHO SEPTEMBA 22,2017.
TAMASHA LA MUZIKI WA ZAMANI KUFANYIKA KESHO SEPTEMBA 22,2017.
Mwanamuziki John Kitime akizungumza na Michuzi TV jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na Tamasha la Muziki wa Zamani yaani muziki wa Miaka ya 1960 na 1970 na 1980. Tamasha hilo litkalofanyika katika ukumbi wa Burudani wa Salenda Klabu jijini Dar es Salaam Kesho Ijumaa ya Septemba 22, 2017.
Amesema kuwa Burudani ya Kutosha itatolewa kuanzia saa moja jioni kwa kiingilio cha shilingi 10,000/= na itakuwa kila Ijumaa ya kila wiki.
Pia amewakaribisha Vijana wazamani pamoja kwenda katika eneo husika ili kujikumbusha muziki na burudani za zamani.
Hivyo makala TAMASHA LA MUZIKI WA ZAMANI KUFANYIKA KESHO SEPTEMBA 22,2017.
yaani makala yote TAMASHA LA MUZIKI WA ZAMANI KUFANYIKA KESHO SEPTEMBA 22,2017. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAMASHA LA MUZIKI WA ZAMANI KUFANYIKA KESHO SEPTEMBA 22,2017. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/tamasha-la-muziki-wa-zamani-kufanyika.html
0 Response to "TAMASHA LA MUZIKI WA ZAMANI KUFANYIKA KESHO SEPTEMBA 22,2017."
Post a Comment