Siasa : Rais Dk. Magufuli Aendesha Kikao cha Kamati kuu ya Chama, Jijini Dar es Salaam

Siasa : Rais Dk. Magufuli Aendesha Kikao cha Kamati kuu ya Chama, Jijini Dar es Salaam - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Siasa : Rais Dk. Magufuli Aendesha Kikao cha Kamati kuu ya Chama, Jijini Dar es Salaam, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Siasa : Rais Dk. Magufuli Aendesha Kikao cha Kamati kuu ya Chama, Jijini Dar es Salaam
kiungo : Siasa : Rais Dk. Magufuli Aendesha Kikao cha Kamati kuu ya Chama, Jijini Dar es Salaam

soma pia


Siasa : Rais Dk. Magufuli Aendesha Kikao cha Kamati kuu ya Chama, Jijini Dar es Salaam




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichoanza leo Jumatano ya Septemba 27, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam.


Kikao hicho kimehudhuriwa na wajumbe wote wa Halmashauri Kuu,wakiwemo Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Alli Mohamed Shein,Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Kassim Majaliwa na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Alli Idd.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Ndg. Phili Mangula akikaribishwa ukumbini katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho kilichoanza leo Jumatano ya Septemba 27, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli akiwasili ukumbini kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichoanza leo Jumatano ya Septemba 27, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichoanza leo Jumatano ya Septemba 27, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai na nyuma ya Makamu wa Rais ni Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Spika wa Baraza wa Wakilishi la Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichoanza leo Jumatano ya Septemba 27, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichoanza leo Jumatano ya Septemba 27, 2017 Ikulu Jijini Dar ss Salaam.


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Rodrick Mpogolo kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichoanza leo Jumatano ya Septemba 27, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam.



Hivyo makala Siasa : Rais Dk. Magufuli Aendesha Kikao cha Kamati kuu ya Chama, Jijini Dar es Salaam

yaani makala yote Siasa : Rais Dk. Magufuli Aendesha Kikao cha Kamati kuu ya Chama, Jijini Dar es Salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Siasa : Rais Dk. Magufuli Aendesha Kikao cha Kamati kuu ya Chama, Jijini Dar es Salaam mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/siasa-rais-dk-magufuli-aendesha-kikao.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Siasa : Rais Dk. Magufuli Aendesha Kikao cha Kamati kuu ya Chama, Jijini Dar es Salaam"

Post a Comment