Serikali yatangaza nafasi za kazi ya ualimu wa Shule ya Msingi

Serikali yatangaza nafasi za kazi ya ualimu wa Shule ya Msingi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Serikali yatangaza nafasi za kazi ya ualimu wa Shule ya Msingi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Serikali yatangaza nafasi za kazi ya ualimu wa Shule ya Msingi
kiungo : Serikali yatangaza nafasi za kazi ya ualimu wa Shule ya Msingi

soma pia


Serikali yatangaza nafasi za kazi ya ualimu wa Shule ya Msingi


Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetangaza ajira za walimu wa shule za msingi kwa walimu ambao wamemaliza masomo yao mwaka 2014/2015 katika ngazi ya cheti (III A).

Taarifa iliyotolewa na Kaimu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na kuthibitishwa na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas imesema kuwa walimu ambao wamemaliza mwaka 2014/2015 na walituma maombi yao kwenye tangazo la kazi ya Agust 10, 2017 hawatakiwa kuomba upya kwani barua zao zinafanyiwa kazi.



Hivyo makala Serikali yatangaza nafasi za kazi ya ualimu wa Shule ya Msingi

yaani makala yote Serikali yatangaza nafasi za kazi ya ualimu wa Shule ya Msingi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Serikali yatangaza nafasi za kazi ya ualimu wa Shule ya Msingi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/serikali-yatangaza-nafasi-za-kazi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Serikali yatangaza nafasi za kazi ya ualimu wa Shule ya Msingi"

Post a Comment