title : SERIKALI YAOMBWA KUSAIDIA KUJENGA VIWANJA VYA MCHEZO WA MPIRA WA MAGONGO.
kiungo : SERIKALI YAOMBWA KUSAIDIA KUJENGA VIWANJA VYA MCHEZO WA MPIRA WA MAGONGO.
SERIKALI YAOMBWA KUSAIDIA KUJENGA VIWANJA VYA MCHEZO WA MPIRA WA MAGONGO.
MCHEZAJI na Mwalimu wa Mchezo wa mpira wa Mgongo (Hoki), Osman Bairu aiomba Serikali kusaidia kujenga viwanja vya mpira wa Magongo hapa nchini.
Hayo amesema wakati akizungumza wa Michuzi Tv katika viwanja vya Tanganyika Pekazi jijini Dar es Salaam wakati wa mashindan ya mchezo wa Magongo uliohusisha Timu A na Timu B za shule ya Msingi Kawe jijini Dar es Salaam.
Pia amewaomba wazazi kuwaruhusu watoto wao kwenda kufanya mazoezi pamoja na ili mchezo huo upate kwenda mbali zaidi.
Mwalimu na Mchezaji wa mpira wa Magongo (Hoki), Osman Bairuakiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu A na Timu B kabla ya mashidano yati ya Timu Hizo mbili za kutoka Shule ya msing Kawe B jijini Dar es Salaam.
Mwalimu na Mchezaji wa mpira wa Magongo (Hoki), Osman Bairu akizungumza na Michuzi TV jijini Dar es Salaam wakati wa mchuano wa mchezo wa Magongo kati ya Timu A na Timu B ya shule ya Msingi Kawe B jijini Dar es Salaam .Ambapo Mchezo huo ulifana sana na Timu ya ya mchezo huo waliweza kufungana 5-2 Timu A walifunga mabao matano na Timu B walifuga mawili.
Wachezaji wa Timu A wakijaribu kunyang'anya Mpira Mchezaji wa Timu B wakati wa Mashindano ya Kirafiki uliofanyika katika viwanja vya Tanganyika Pekazi jijini Dar es Salaam.
Mchezo ukiendelea kati ya Tmu A na Timu B za shule ya Msingi Kawe B jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala SERIKALI YAOMBWA KUSAIDIA KUJENGA VIWANJA VYA MCHEZO WA MPIRA WA MAGONGO.
yaani makala yote SERIKALI YAOMBWA KUSAIDIA KUJENGA VIWANJA VYA MCHEZO WA MPIRA WA MAGONGO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAOMBWA KUSAIDIA KUJENGA VIWANJA VYA MCHEZO WA MPIRA WA MAGONGO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/serikali-yaombwa-kusaidia-kujenga.html
0 Response to "SERIKALI YAOMBWA KUSAIDIA KUJENGA VIWANJA VYA MCHEZO WA MPIRA WA MAGONGO."
Post a Comment