Pitbull atumia ndege yake kuokoa wahanga wa Puerto Rico

Pitbull atumia ndege yake kuokoa wahanga wa Puerto Rico - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Pitbull atumia ndege yake kuokoa wahanga wa Puerto Rico, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Pitbull atumia ndege yake kuokoa wahanga wa Puerto Rico
kiungo : Pitbull atumia ndege yake kuokoa wahanga wa Puerto Rico

soma pia


Pitbull atumia ndege yake kuokoa wahanga wa Puerto Rico

Kutoa ni moyo na sio utajiri, rapper Pitbull ametumia ndege yake binafsi kubebea wangojwa wa Saratani ili awaletwe katika hospitali zingine kupata Matibabu ya Chemotherapy, baada ya visiwa kisiwa cha Puerto Rico kuathirika na kimbunga ‘Maria’ na kupelekea kukosa huduma muhimu.
Rapper huyo ameungana na mastaa kama Jennifer Lopez aliyechangia kiasi cha dola milioni moja kwa wahanga na msanii Daddy Yankee aliyetoa pesa , kwa kusaidia wangonjwa hao  ili waweza kupata matibabu baada ya kimbunga Maria  kuharibu miundombinu kama huduma za maji, umeme na mpaka sasa hospitali 11 tu kati ya 69 za kisiwa hicho ndio kuna umeme kitu ambacho kinahatarisha maisha ya wagonjwa.
Kwa mujibu wa New York Daily News, wamesema kuwa Pitbull alishukuru kwa kutimiza wajibu wake kama binadamu.”Thank God we’re blessed to help. Just doing my part,” amesema Pitbull.
Kimbunga Maria kimekuwa kikiandama sehemu kadhaa za Amerika Kaskazini kama vile Kisiwa cha Caribbean, Guadeloupe, Dominica, St Kitts, Nevis, Montserrat na Martinique.


Hivyo makala Pitbull atumia ndege yake kuokoa wahanga wa Puerto Rico

yaani makala yote Pitbull atumia ndege yake kuokoa wahanga wa Puerto Rico Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Pitbull atumia ndege yake kuokoa wahanga wa Puerto Rico mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/pitbull-atumia-ndege-yake-kuokoa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Pitbull atumia ndege yake kuokoa wahanga wa Puerto Rico"

Post a Comment