MTI WA MATUMAINI YA PROGRAMU YA PAMOJA WAPANDWA NDANI YA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NYARUGUSU MKOANI KIGOOMA

MTI WA MATUMAINI YA PROGRAMU YA PAMOJA WAPANDWA NDANI YA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NYARUGUSU MKOANI KIGOOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MTI WA MATUMAINI YA PROGRAMU YA PAMOJA WAPANDWA NDANI YA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NYARUGUSU MKOANI KIGOOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MTI WA MATUMAINI YA PROGRAMU YA PAMOJA WAPANDWA NDANI YA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NYARUGUSU MKOANI KIGOOMA
kiungo : MTI WA MATUMAINI YA PROGRAMU YA PAMOJA WAPANDWA NDANI YA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NYARUGUSU MKOANI KIGOOMA

soma pia


MTI WA MATUMAINI YA PROGRAMU YA PAMOJA WAPANDWA NDANI YA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NYARUGUSU MKOANI KIGOOMA

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la UN Alvaro Rogriquez jana akipanda mti wa matumaini ya programu ya pamoja ya kigoma katika kambi ya Nyarugusu juu ya mradi mtambukwa endelevu kwa wakimbizi na wakazi wa wilaya hasa vijiji jirani zinazoishi na wakimbizi Picha na( Magreth Magosso Kigoma).
Pichani wa tatu kutoka mkono wa kushoto ni Kaimu mkuu wa wilaya ya Kasulu Kanali Marco Gaguti akikata utepe wa kuzindua jengo la dawati la jinsia la polisi wilayani kasulu akishuhudiwa na wafadhili wa umoja wa mataifa akiwemo mkurugenzi mkazi wa UN Alvaro Rodriquez .
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Charles Palanjo aliyevaa koti ambaye pia ni Mgeni rasmi akihitimisha kwa kuzindua jiwe la msingi wa mradi wa pamoja kigoma katika Kambi ya wakimbiz na waomba hifadhi ya Nyarugusu wilaya ya kasulu .(Picha na Magreth Magosso )Kigoma.
Mwakilishi kutoka ubalozi wa watu wa Norway Trygre Bendksby jana katika kambi ya nyarugusu akiumwagilia maji mti alioupanda kama sehemu ya matumaini ya mradi wa programu ya pamoja kigoma yenye vipaumbele sita ikiwemo nishati endelevu na mazingira .Picha na Magreth Magosso kigoma.


Hivyo makala MTI WA MATUMAINI YA PROGRAMU YA PAMOJA WAPANDWA NDANI YA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NYARUGUSU MKOANI KIGOOMA

yaani makala yote MTI WA MATUMAINI YA PROGRAMU YA PAMOJA WAPANDWA NDANI YA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NYARUGUSU MKOANI KIGOOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MTI WA MATUMAINI YA PROGRAMU YA PAMOJA WAPANDWA NDANI YA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NYARUGUSU MKOANI KIGOOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mti-wa-matumaini-ya-programu-ya-pamoja.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MTI WA MATUMAINI YA PROGRAMU YA PAMOJA WAPANDWA NDANI YA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NYARUGUSU MKOANI KIGOOMA"

Post a Comment