title : MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKAZI WA BENKI YA DUNIA BI. BELLA BIRD
kiungo : MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKAZI WA BENKI YA DUNIA BI. BELLA BIRD
MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKAZI WA BENKI YA DUNIA BI. BELLA BIRD
Makamu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo amkutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Bi. Bella Bird, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais na Mkurugenzi huyo walizungumzia masuala mbalimbali ya Lishe kwa akina Mama na namna ukosefu wa lishe bora unavyopelekea vifo vya akina mama na watoto wakati na baada ya kujifungua.
Aidha wamesisitiza suala la Elimu ya Lishe Bora kwa wakina mama hao ili kukabiliana na tatizo.
Makamu wa Rais aliishukuru Benki ya Dunia kwa kuwasaidia wakina mama wa Kitanzania na kuitaka iendelee kufanya hivyo hasa wakati huu ambapo nchi inaenda kwenye uchumi wa viwanda.
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKAZI WA BENKI YA DUNIA BI. BELLA BIRD
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKAZI WA BENKI YA DUNIA BI. BELLA BIRD Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKAZI WA BENKI YA DUNIA BI. BELLA BIRD mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/makamu-wa-rais-afanya-mazungumzo-na.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKAZI WA BENKI YA DUNIA BI. BELLA BIRD"
Post a Comment