title : Madaktari Nchini Kenya Washangaa Tundu Lissu Kuwa Hai
kiungo : Madaktari Nchini Kenya Washangaa Tundu Lissu Kuwa Hai
Madaktari Nchini Kenya Washangaa Tundu Lissu Kuwa Hai
Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema madakatari nchini Kenya wameshangazwa kumwona Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akiwa hai kutokana na shambulio la risasi lililotokea Septemba 2017 mjini Dodoma.
Msigwa aliyekuwa miongoni mwa viongozi wa Chadema waliomsafirisha Lissu kutoka Dodoma siku hiyo kwenda jijini Nairobi, aliliambia gazeti hili jana kwamba Lissu alivuja damu nyingi na kama asingepata huduma ya haraka angefariki.
“Tulipofika Nairobi, madaktari walishangaa kuona Lissu akiwa hai, kwa sababu alipoteza damu nyingi sana. Lakini niwashukuru sana madaktari wa hospitali ya Dodoma General kwa huduma waliyotoa kufanya Lissu tufike Nairobi,” amesema Mchungaji Msigwa na kuongeza:
“Nataka tu niwaambie Watanzania kwamba Tundu Lissu wetu aliumizwa sana katika jaribio la kuchukua uhai wake. Watu wasichukulie kama ni jambo dogo, ni jambo kubwa lililoharibu hata akili za watu tuliokuwa karibu naye.”
Hivyo makala Madaktari Nchini Kenya Washangaa Tundu Lissu Kuwa Hai
yaani makala yote Madaktari Nchini Kenya Washangaa Tundu Lissu Kuwa Hai Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Madaktari Nchini Kenya Washangaa Tundu Lissu Kuwa Hai mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/madaktari-nchini-kenya-washangaa-tundu.html
0 Response to "Madaktari Nchini Kenya Washangaa Tundu Lissu Kuwa Hai"
Post a Comment