Maalim Seif Amtembelea Tundu Lissu Nairobi Kenya

Maalim Seif Amtembelea Tundu Lissu Nairobi Kenya - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maalim Seif Amtembelea Tundu Lissu Nairobi Kenya, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Maalim Seif Amtembelea Tundu Lissu Nairobi Kenya
kiungo : Maalim Seif Amtembelea Tundu Lissu Nairobi Kenya

soma pia


Maalim Seif Amtembelea Tundu Lissu Nairobi Kenya

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Mhe. Seif Sharif Hamad leo Septemba 26, 2017 ameingia jijini Nairobi Kenya kwenda kumjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu ambaye alipigwa risasi.

Mwenyekiti wa kamati ya muda ya uongozi CUF, Julius Mtatiro amethibitisha hilo na kusema kuwa kiongozi huyo na baadhi ya viongozi wa CUF wamewasili nchini Kenya kwa ajili ya kwenda kumuona Tundu Lissu.

"Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Mhe. Seif Sharif Hamad ameingia jijini Nairobi kumjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika Mhe. Tundu Antipas Lisu (leo) ambaye amelazwa Hospitali ya Nairobi" alisema Julius Mtatiro

Mhe. Shariff Hamad ameongozana na Mhe. Juma Duni Haji Nairobi kumjulia hali, Mhe Tundu Lissu.

Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alishambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana Septemba 7, 2017 mjini Dodoma na kisha baadaye kupelekwa nchini Kenya kwa matibabu zaidi.


Hivyo makala Maalim Seif Amtembelea Tundu Lissu Nairobi Kenya

yaani makala yote Maalim Seif Amtembelea Tundu Lissu Nairobi Kenya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Maalim Seif Amtembelea Tundu Lissu Nairobi Kenya mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/maalim-seif-amtembelea-tundu-lissu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Maalim Seif Amtembelea Tundu Lissu Nairobi Kenya"

Post a Comment