Kimbunga Maria kisiwa chote cha Puerto Rico hakina umeme.

Kimbunga Maria kisiwa chote cha Puerto Rico hakina umeme. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kimbunga Maria kisiwa chote cha Puerto Rico hakina umeme., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kimbunga Maria kisiwa chote cha Puerto Rico hakina umeme.
kiungo : Kimbunga Maria kisiwa chote cha Puerto Rico hakina umeme.

soma pia


Kimbunga Maria kisiwa chote cha Puerto Rico hakina umeme.

Kimbunga Maria kimekata umeme katika kisiwa chote cha Puerto Rico, chenye watu milioni 3.5. 
Abner Gómez, ambaye ni mkuu wa utoaji huduma za dharura alisema kuwqa hakuna mtu anayetumia umeme aliye na huduma hiyo kwa sasa. 

Kituo cha vimbunga cha Marekani kinasema kuwa mafuriko makubwa yanaikumba nchi hyo, Maria kwa sasa kinaondoka nchini Puerto Rico na kumepunguza nguvu zake hadi kiwango cha pili. 

Baada ya kimbunga Maria kuipiga Puerto Rico, gavana ameamrisha watu kusalia manyumbani mwao kuanzia saa kumi na mbili jioni na hadi saa kumi na mbili asubuhi. 

Hi ni hatua ya kuwazuia watu kupata ajali kutokana na nyaya za umeme zilizoanguka na vifuzi vilivyo barabara za mji. 

Mapema Bw Rossello alimuomba Rais Donald Trumo kukitangaza kisiwa hicho kuwa eneo la janga baada ya kimbunga kusababisha mafuriko makubwa na upepo unaotishia maisha. 

Alisema kuwa kuna uwezekano wa uharibu mkuwa licha ya vitisho 500 kubuniwa kuwalinda watu. 
Kimbunga hicho tayari kimesababisha vifo vya watu 7 katika kisiwa cha Dominica ambacho kiliathiriwa vibaya siku ya Jumatatu.


Hivyo makala Kimbunga Maria kisiwa chote cha Puerto Rico hakina umeme.

yaani makala yote Kimbunga Maria kisiwa chote cha Puerto Rico hakina umeme. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kimbunga Maria kisiwa chote cha Puerto Rico hakina umeme. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/kimbunga-maria-kisiwa-chote-cha-puerto.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kimbunga Maria kisiwa chote cha Puerto Rico hakina umeme."

Post a Comment