DAKTARI WA HOSPITALI YA AGA KHAN ASHANGAA MANJI KUUGUA MOYO KATIKA UMRI MDOGO

DAKTARI WA HOSPITALI YA AGA KHAN ASHANGAA MANJI KUUGUA MOYO KATIKA UMRI MDOGO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DAKTARI WA HOSPITALI YA AGA KHAN ASHANGAA MANJI KUUGUA MOYO KATIKA UMRI MDOGO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DAKTARI WA HOSPITALI YA AGA KHAN ASHANGAA MANJI KUUGUA MOYO KATIKA UMRI MDOGO
kiungo : DAKTARI WA HOSPITALI YA AGA KHAN ASHANGAA MANJI KUUGUA MOYO KATIKA UMRI MDOGO

soma pia


DAKTARI WA HOSPITALI YA AGA KHAN ASHANGAA MANJI KUUGUA MOYO KATIKA UMRI MDOGO


Na Karama Kenyunko, blogu ya Jamii.

Daktari bingwa Wa magonjwa ya moyo wa Hospital ya Aga Khan, Prof. Mustapha Bapunia (62), ameileza mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, inashangaza, Manji katika umri mdogo alionao anamatatizo sugu ya moyo ambayo yanampasa kujilinda sana.

Dkt, huyo ambaye ni shahidi Wa tatu upande wa utetezi katika kesi ya matumizi ya dawa za kulevya aina ya Heroin inayomkabili mfanyabiashara Yusufu Manji amedai hayo leo wakati àkitoa ushahidi wake mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Cyprian Mkeha.Akiongozwà na Wakili wa utetezi, Hajra Mungula, shahidi Hugo amedai, Manji ana vyuma vinne kwenye moyo ni hatari na kwamba ni lazima ajiangalie sana kwasababu anaweza kufa muda wowote.

Amedai katika umri mdogo alionao Manji kuwa na vyuma vinne kwenye moyo inashangaza sana na kitaalamy anapaswa kujiangalia sana.Amedai Februari mwaka huu Manji alipelekwa hospitalini hapo akiwa anasumbuliwa na maumivu kwenye moyo ambapo kutokana na historia ya ugonjwa iliyotolewa na manji mwenyewe na kwamba aliwahi kuzibuliwa mishipa ya moyo mitatu ilizibuliwa India, Dubai na Marekani lakini pia bado alikuwa akipata maumivu inaonyesha kuwa anatatizo sugu la moyo.

Alidai kuwa hata baada ya kumfanyiwa uchunguzi ilionekana kuna mshipa mwingine ulioziba licha ya ile iliyozibuliwa kuwa wazi lakini walipotaka kumzibua alikataa na kuomba apewe dawa kwasababu familia yake na matibabu yake yapo marekani.

Baada ya vipimo walimshauriwa kutumia dawa za aina nne ambazo ni muhimu sana kwasababu ya umri wake mdogo ili ya kupunguza maumivu makali. Kwani vipimo vinaonyesha Manji ana maumivu sugu ya mgongo na kukosa usingizi ambapo alipewa dawa za kupunguza maumivu (Benzodiazepines)ambazo zinatotewa kwa cheti cha daktari lakini baadae tatizo lilijirudia na kurudishwa tena february 24,2017 saa mbili usiku ambapo majibu ya vipimo vilionyesha kapata mshtuko, wakarekebisha na kumuwekea chuma na kuruhusiwa Machi 14,2017.
Mshtakiwa Yusuph Manji anayekabiliwa na shtaka la matumizi ya dawa za kulevya, akijadili jambo na Wakili wake Hajra Mungula kabla ya kupanda kizimbani kwa ajili ya kuanza kujitetea.



Hivyo makala DAKTARI WA HOSPITALI YA AGA KHAN ASHANGAA MANJI KUUGUA MOYO KATIKA UMRI MDOGO

yaani makala yote DAKTARI WA HOSPITALI YA AGA KHAN ASHANGAA MANJI KUUGUA MOYO KATIKA UMRI MDOGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DAKTARI WA HOSPITALI YA AGA KHAN ASHANGAA MANJI KUUGUA MOYO KATIKA UMRI MDOGO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/daktari-wa-hospitali-ya-aga-khan.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DAKTARI WA HOSPITALI YA AGA KHAN ASHANGAA MANJI KUUGUA MOYO KATIKA UMRI MDOGO"

Post a Comment