title : CRDB YAWAPA SOMO LA UJASILIAMALI WAKAZI WA KIGAMBONI JIJINI DAR
kiungo : CRDB YAWAPA SOMO LA UJASILIAMALI WAKAZI WA KIGAMBONI JIJINI DAR
CRDB YAWAPA SOMO LA UJASILIAMALI WAKAZI WA KIGAMBONI JIJINI DAR
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa akizungumza wakati akifungua semina ya siku moja kwa vikundi vya kijamii na wajasiliamali, kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Sunrise, Kigamboni jijini Dar es salaa.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa, akizungumza katika semina ya siku moja kwa vikundi vya kijamii na wajasiliamali, kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Sunrise, Kigamboni jijini Dar es salaam
Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Rahel Muhando akizungumza wakati alipokuwa akitambulisha sehemu ya viongozi wa ngazi mbalimbali wa Wilaya hiyo, katika semina ya siku moja kwa vikundi vya kijamii na wajasiliamali, kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Sunrise, Kigamboni jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa (watatu kushoto), Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Rahel Muhando (kulia), Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa pamoja na Meneja wa CRDB Tawi la Mbagala, Midlaster Nsanzugwanko wakifatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa katika semina ya siku moja kwa vikundi vya kijamii na wajasiliamali, kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Sunrise, Kigamboni jijini Dar es salaam.
Hivyo makala CRDB YAWAPA SOMO LA UJASILIAMALI WAKAZI WA KIGAMBONI JIJINI DAR
yaani makala yote CRDB YAWAPA SOMO LA UJASILIAMALI WAKAZI WA KIGAMBONI JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CRDB YAWAPA SOMO LA UJASILIAMALI WAKAZI WA KIGAMBONI JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/crdb-yawapa-somo-la-ujasiliamali-wakazi.html
0 Response to "CRDB YAWAPA SOMO LA UJASILIAMALI WAKAZI WA KIGAMBONI JIJINI DAR"
Post a Comment