title : Wawili kizimbani kwa wizi Wa mafuta ya mawese na sabuni.
kiungo : Wawili kizimbani kwa wizi Wa mafuta ya mawese na sabuni.
Wawili kizimbani kwa wizi Wa mafuta ya mawese na sabuni.
Na Karama Kenyunko, Glogu ya jamii.
WAFANYABIASHARA wawili wakazi wa Kimara jijini Dar es Salaam, Jumbo Cheto(39) na Anna Kilawe (43) leo wamepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka ya wizi wa mafuta ya mawese na sabuni zenye thamani ya milioni 60.
Hati ya mashtaka imesomwa na wakili wa Serikali Mwandamizi, Mutalemwa Kishenyi ambae amedai siku na mahali pasipojulikana, wote wawili walikula njama ya wizi iloyokuwa safarini.
Imedaiwa, kati ya Mei 19 na 23, mwaka huu, huko kinondoni washtakiwa hao waliiba magaloni 1056 za mafuta ya mawese ya Lita 20, madumu mengine ya Lita 200 na sabuni 1319 ambapo vitu vyote vina thamani shilingi milioni 60.
Washtakiwa wamekana mashtaka hayo na kwai hiyo itatajwa tena Agosti 30, mwaka huu.
Mfanyabiashara, Jumbo Cheto(39) mkazi wa Kimara jijini Dar es Salaam
amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka ya wizi wa mafuta ya mawese na sabuni zenye thamani ya milioni 60.
amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka ya wizi wa mafuta ya mawese na sabuni zenye thamani ya milioni 60.
Mfanyabiashara, Anna Kilawe (43) mkazi wa Kimara jijini Dar es Salaam (Mwenye nguo ya Pink) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka ya wizi wa mafuta ya mawese na sabuni zenye thamani ya milioni 60.
Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.
Hivyo makala Wawili kizimbani kwa wizi Wa mafuta ya mawese na sabuni.
yaani makala yote Wawili kizimbani kwa wizi Wa mafuta ya mawese na sabuni. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wawili kizimbani kwa wizi Wa mafuta ya mawese na sabuni. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/wawili-kizimbani-kwa-wizi-wa-mafuta-ya.html
0 Response to "Wawili kizimbani kwa wizi Wa mafuta ya mawese na sabuni."
Post a Comment