WATUMISHI WATANO WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WAPATA UFADHILI KUSOMA UINGEREZA

WATUMISHI WATANO WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WAPATA UFADHILI KUSOMA UINGEREZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATUMISHI WATANO WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WAPATA UFADHILI KUSOMA UINGEREZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATUMISHI WATANO WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WAPATA UFADHILI KUSOMA UINGEREZA
kiungo : WATUMISHI WATANO WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WAPATA UFADHILI KUSOMA UINGEREZA

soma pia


WATUMISHI WATANO WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WAPATA UFADHILI KUSOMA UINGEREZA


Na Chalila Kibuda , Globu ya Jamii

Uchumi wa kati na uchumi wa viwanda unatokana na kuwepo kwa rasilimali watu yenye ujuzi na maarifa wa kufanya kupata matokeo hayo.

Hayo ameyasema Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako wakati wa kuwaaga watumishi wa tano wa Wizara ya Fedha na Mipango kusoma shahada za pili katika vyuo vikuu vya Uingereza kwa Ufadhili wa Uingereza , amesema kuwa vijana wanaokwenda huko watafanya vizuri na kuleta maarifa nchini katika masuala mbalimbali katika wizara ya Fedha.

Amesema Wizara ya Fedha na Mipango ndio moyo wa nchi hivyo kupata ufadhili kwa vijana hao watakuwa ni msaada kwa wizara katika kufanya masuala mbalimbali.

Nae Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango amesema kuwa Uingereza imekuwa ikitoa misaada mbalimbali katika maendeleo ya Tanzania na kuamua kutoa ufadhili kwa watumishi watano ni fedha nyingi ya walipakodi wa Uingereza.

Amesema kuwa katika hatua ya kupata ufadhili huo wakirudi watafanya kazi katika masuala mbalimbali ikiwemo masuala ya uchambuzi wa bajeti.Dk. Mpango amesema watumishi wengine wajiandae na ufadhili kutokana na mahitaji yaliyopo kwa watumishi wa wizara hiyo.

Watumishi hao ni Herieth Lubinga, John Kabiti, Gloria Mduda,Peter Kalugwisha pamoja na Susan Mbwayuwayu.
Waziri wa Fedha na Mipango , Dk. Philip Mpango akizungumza wakati wa kuwaaga watumishi wa wizara fedha wanaoenda kusoma vyuo vikuu vya Uingereza kwa ufadhili wa nchi Uingereza.
Mmoja wa Watumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango wanaokwenda kusoma vyuo vikuu vya Uingereza, John Kabiti akizungumza juu ufadhili leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako akizungumza juu ya vijana wanaokwenda kusoma vyuo vikuu vya Uingereza kwa ufadhili wa nchi Uingreza.
Picha ya Pamoja katika mawaziri na watumishi wanaokwenda kusoma vyuo vikuu vya Uingereza kwa ufadhili nchi ya Uingereza.


Hivyo makala WATUMISHI WATANO WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WAPATA UFADHILI KUSOMA UINGEREZA

yaani makala yote WATUMISHI WATANO WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WAPATA UFADHILI KUSOMA UINGEREZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATUMISHI WATANO WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WAPATA UFADHILI KUSOMA UINGEREZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/watumishi-watano-wa-wizara-ya-fedha-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WATUMISHI WATANO WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WAPATA UFADHILI KUSOMA UINGEREZA"

Post a Comment