Masogange: Siwezi Kuuza Mwili Wangu Nipate Pesa Sina Dhiki Hizo

Masogange: Siwezi Kuuza Mwili Wangu Nipate Pesa Sina Dhiki Hizo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Masogange: Siwezi Kuuza Mwili Wangu Nipate Pesa Sina Dhiki Hizo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Masogange: Siwezi Kuuza Mwili Wangu Nipate Pesa Sina Dhiki Hizo
kiungo : Masogange: Siwezi Kuuza Mwili Wangu Nipate Pesa Sina Dhiki Hizo

soma pia


Masogange: Siwezi Kuuza Mwili Wangu Nipate Pesa Sina Dhiki Hizo

Video Qeen mkongwe, Agnes Masogange ametamka kwamba sasa ameamua kuachana rasmi na kuuza sura kwenye video kwa vile baby wake hapendi huku pia akitaka watu kuacha kufikiria kwamba anafanya biashara kujiuza.

“Watu bana!, mimi sina dhiki ya kufikia kuuza mwili wangu eti nipate pesa na kuhusu zile picha kipindi kile nilizopiga hazikuwa za utupu sema basi tu watanzania tunapenda kuzusha sana. Na mtu kuenda Sauzi ndio ameenda kujiuza?,” Masogange aliliambia Gazeti la Mwanaspoti.

Aliongeza, “Mimi nilikuwa na biashara zangu nafanya na wanaosema hivyo hawanisaidii chochote,hakuna mtanzania anayeninunulia nguo,hayupo anayenipa pesa waongee tu. Unajua sisi wadada tuna tabia ya kuoneana wivu akiona unafanya vizuri anaanza kukusemea vitu vya ajabu pembeni,”anasema msanii huyo na kuongeza kwamba amepima ukimwi yuko safi,”

Katika hatua nyingine mrembo huyo alikana kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya kama baadhi ya watu wanavyodhani. 


Hivyo makala Masogange: Siwezi Kuuza Mwili Wangu Nipate Pesa Sina Dhiki Hizo

yaani makala yote Masogange: Siwezi Kuuza Mwili Wangu Nipate Pesa Sina Dhiki Hizo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Masogange: Siwezi Kuuza Mwili Wangu Nipate Pesa Sina Dhiki Hizo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/masogange-siwezi-kuuza-mwili-wangu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Masogange: Siwezi Kuuza Mwili Wangu Nipate Pesa Sina Dhiki Hizo"

Post a Comment