title : Wataalamu wa afya kutoka China watembelea Hospitali ya Muhimbili leo
kiungo : Wataalamu wa afya kutoka China watembelea Hospitali ya Muhimbili leo
Wataalamu wa afya kutoka China watembelea Hospitali ya Muhimbili leo
Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akizungumza na ujumbe kutoka China Leo. Ujumbe huo umejadiliana na uongozi wa MNH jinsi watakavyotoa huduma ya matibabu kwa wagonjwa.
Wataalamu wa afya kutoka China wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa MNH leo.
Baadhi ya wakurugenzi wa MNH wakifuatilia mazungumzo hayo leo.
Watalaamu na baadhi ya wakurugenzi wa MNH wakiwa kwenye picha ya pamoja leo.
Hivyo makala Wataalamu wa afya kutoka China watembelea Hospitali ya Muhimbili leo
yaani makala yote Wataalamu wa afya kutoka China watembelea Hospitali ya Muhimbili leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wataalamu wa afya kutoka China watembelea Hospitali ya Muhimbili leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/wataalamu-wa-afya-kutoka-china_28.html
0 Response to "Wataalamu wa afya kutoka China watembelea Hospitali ya Muhimbili leo"
Post a Comment