title : WASANII WA BONGO FREVA WAASWA KUZINGATIA MATUMIZI YA LUGHA.
kiungo : WASANII WA BONGO FREVA WAASWA KUZINGATIA MATUMIZI YA LUGHA.
WASANII WA BONGO FREVA WAASWA KUZINGATIA MATUMIZI YA LUGHA.
Wasanii wa Bongo Freva hapa nchini wameaswa kukuzingatia matumizi ya Lunga pamoja na mavazi ili kuepushafungia fungia ya kazi zao za sanaa hayo yamesemwa leo wakati wa mkutano wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe na wasanii wa nyimbo za bongo Freva pamoja na wadau mbalimbali na sanaa hapa nchini jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wasanii wa Nyimbo za Bongo Freva hapanchini kutoka kulia ni Wastara Thomasi, msanii wa Bongo Fleva, Khadija Shaban (Keisha) na Witnes Mwajaga wakiwa katika Mkutano wa wasanii wa Bongo freva na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe jijini Dar es Salaam leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.
Picha na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.
Hivyo makala WASANII WA BONGO FREVA WAASWA KUZINGATIA MATUMIZI YA LUGHA.
yaani makala yote WASANII WA BONGO FREVA WAASWA KUZINGATIA MATUMIZI YA LUGHA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WASANII WA BONGO FREVA WAASWA KUZINGATIA MATUMIZI YA LUGHA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/wasanii-wa-bongo-freva-waaswa.html
0 Response to "WASANII WA BONGO FREVA WAASWA KUZINGATIA MATUMIZI YA LUGHA."
Post a Comment