title : VODACOM YAANGUSHA KIAMA CHA MAGOLI 7-1 DHIDI YA HUAWEI KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI
kiungo : VODACOM YAANGUSHA KIAMA CHA MAGOLI 7-1 DHIDI YA HUAWEI KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI
VODACOM YAANGUSHA KIAMA CHA MAGOLI 7-1 DHIDI YA HUAWEI KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI
Kikosi cha timu ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC, wakiongozwa na mkurugenzi Mtendaji, Ian Ferrao(katikati) aliyeshika mpira wakipozi kwenye picha kabla ya kuanza kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya kampuni ya Huawei uliofanyika kwenye viwanjwa vya Gymkhana jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Vodacom Tanzania iliilaza Huawei magoli 7-1.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Ian Farreo (kushoto) akimshuhudia Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Huawei Mengdong Gao,(kulia) akimkabidhi jezi nahodha wa timu ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc, Ngayama Matongo (katikati) wakati wa mchezo wa kirafiki baina ya kampuni hizo,uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam, Vodacom Tanzania Plc ilishinda magoli 7-1
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Ian Ferrao (kushoto) akisaini mpira wa mfungaji bora wa mchezo wa kirafiki kati ya Vodacom na Huawei uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam, ambapo Vodacom Tanzania Plc iliiadhibu Huawei magoli 7-0.Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Huawei Mengdong Gao.
Wachezaji wa timu ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC, wakishangilia ushindi wao baada ya kuiadhibu timu ya wafanyakazi wa Huawei mabao 7-1 wakati wa mchezo wa kirafiki ulifanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji hatari wa timu ya Vodacom Tanzania PLC, Ian Ferrao akifunga goli wakati wa mchezo wa kirafiki na Kampuni ya Huawei uliofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam.Vodacom Tanzania PLC iliibuka na ushindi wa magoli 7-1.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Ian Farreo (jezi no.9) na nahodha wa timu ya kampuni hiyo, Ngayama Matongo (wapili kushoto) wakishangilia ushindi dhidi ya timu ya kampuni ya Huawei wakati wa mchezo wa kirafiki baina ya kampuni hizo,uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam, Vodacom Tanzania Plc ilishinda magoli 7-1
Mshambuliaji wa timu ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC, (kushoto) Astrid Mapunda akimtoka beki wa timu ya wafanyakazi wa Huawei , wakati wa mchezo wa kirafiki baina ya kampuni hizo, uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam, Vodacom Tanzania Plc ilishinda magoli 7-1
Mabeki wa timu ya Vodacom Tanzania PLC wakimdhibiti mshambuliaji wa timu ya Huawei, Li Kun , wakati wa mchezo wa kirafiki baina ya kampuni hizo, uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam, Vodacom Tanzania iliibuka kidedea kwa magoli 7-1
Wachezaji wa timu ya Vodacom Tanzania PLC, wakipeana mbinu za ushindi wakati wa mapumziko ya mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya wafanyakazi wa kampuni ya Huawei, uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam, Vodacom Tanzania PLC, ilishinda magoli 7-1
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Huawei Mengdong Gao (kulia) akimkabidhi mchezaji wa timu ya Vodacom Tanzania PLC, Kungwi Michael tuzo ya ufungaji bora baada ya mchezo wa kirafiki baina ya kampuni hizo,uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam, Vodacom Tanzania, ilishinda magoli 7-1 . Kushoto ni nahodha wa timu hiyo, Ngayama Matongo.
Hivyo makala VODACOM YAANGUSHA KIAMA CHA MAGOLI 7-1 DHIDI YA HUAWEI KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI
yaani makala yote VODACOM YAANGUSHA KIAMA CHA MAGOLI 7-1 DHIDI YA HUAWEI KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VODACOM YAANGUSHA KIAMA CHA MAGOLI 7-1 DHIDI YA HUAWEI KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/vodacom-yaangusha-kiama-cha-magoli-7-1_28.html
0 Response to "VODACOM YAANGUSHA KIAMA CHA MAGOLI 7-1 DHIDI YA HUAWEI KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI"
Post a Comment