title : VIONGOZI WA VILABU VYA LIGI DARAJA LA KWANZA KUFANYA KIKAO AGOSTI 18,2017
kiungo : VIONGOZI WA VILABU VYA LIGI DARAJA LA KWANZA KUFANYA KIKAO AGOSTI 18,2017
VIONGOZI WA VILABU VYA LIGI DARAJA LA KWANZA KUFANYA KIKAO AGOSTI 18,2017
Mwambawahabari
KIKAO KLABU ZA LIGI DARAJA KWANZA
Viongozi wa Klabu zinazoshiriki Ligi Daraja la Kwanza (FDL), wanatarajiwa kuwa na kikao na uongozi wa Bodi ya Ligi (TPLB), kitakachofanyika Ijumaa Agosti 18, 2017 kuanzia saa 3.00 asubuhi kwenye Hosteli za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).
Pamoja na mambo mengine, kikao hicho kitakuwa maalumu kwa ajili ya kujadili Ligi Daraja la Kwanza lakini pia kutoa semina kwa viongozi hao kuhusu Leseni za Klabu (Club License).
TFF inatoa wito kwa viongozi wa juu wa klabu kuhudhuria kikao hicho muhimu . TFF ingependa kusisitiza kuzingatia muda wa kuanza kikao.
Hivyo makala VIONGOZI WA VILABU VYA LIGI DARAJA LA KWANZA KUFANYA KIKAO AGOSTI 18,2017
yaani makala yote VIONGOZI WA VILABU VYA LIGI DARAJA LA KWANZA KUFANYA KIKAO AGOSTI 18,2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VIONGOZI WA VILABU VYA LIGI DARAJA LA KWANZA KUFANYA KIKAO AGOSTI 18,2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/viongozi-wa-vilabu-vya-ligi-daraja-la.html
0 Response to "VIONGOZI WA VILABU VYA LIGI DARAJA LA KWANZA KUFANYA KIKAO AGOSTI 18,2017"
Post a Comment