TATIZO LA MAJI DAR ES SALAAM HUENDA LIKAWA HISTORIA IKIWA MIKAKATI HII ITATEKELEZWA

TATIZO LA MAJI DAR ES SALAAM HUENDA LIKAWA HISTORIA IKIWA MIKAKATI HII ITATEKELEZWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TATIZO LA MAJI DAR ES SALAAM HUENDA LIKAWA HISTORIA IKIWA MIKAKATI HII ITATEKELEZWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TATIZO LA MAJI DAR ES SALAAM HUENDA LIKAWA HISTORIA IKIWA MIKAKATI HII ITATEKELEZWA
kiungo : TATIZO LA MAJI DAR ES SALAAM HUENDA LIKAWA HISTORIA IKIWA MIKAKATI HII ITATEKELEZWA

soma pia


TATIZO LA MAJI DAR ES SALAAM HUENDA LIKAWA HISTORIA IKIWA MIKAKATI HII ITATEKELEZWA

Mwambawahabari
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa  Paul Makonda leo amefanya ziara ya ukaguzi wa Ujenzi wa Miundombinu ya Maji ambayo kukamilika kwake kutaongeza wigo wa upatikanaji wa Maji ya kutosha kwa Wakazi wa Dar es Salaam.
Katika ziara hiyo Mhe. Makonda ametembelea Ujenzi wa Vituo vya Usambazaji wa Maji, Visima pamoja na maeneo yatakayojengwa mifumo ya kisasa ya kusafirisha na kutibu Maji taka.
Mhe. Makonda amesema lengo la Serikali ya awamu ya Tano chini ya Rais Joseph Pombe Magufuli ni kumtua Mama Ndoo kichwani na kuhakikisha huduma ya Maji inawafikia Wananchi wote.
Amesema kukamilika kwa miradi ya Ujenzi wa Vituo Vinne vikubwa vya usambazaji wa Maji vinavyojengwa maeneo ya Changanyikeni, Makongo, Wazo na Bunju vitasaidia kuzalisha Maji ya kutosha na kutatua kero kwa Wananchi.
Katika ziara hiyo pia Mkuu wa Mkoa ametembelea Visima 10 ambavyo aliahidi kwenye Ziara ya Dar Mpya ambavyo Ujenzi wake umekamilika vikiwa na uwezo wa kuzalisha Lita 16,000 kwa kila kisima ambavyo vitahudumia wakazi wa Wilaya ya Ubungo.
Aidha Mhe.Makonda ametembelea eneo la Jangwani ambapo kutajengwa Mfumo wa Maji taka utakaogharimu kiasi cha Bilion 200 na eneo la Kilongawima Mbezi Beach kunakojengwa mfumo wa Maji taka utakaogharimu kiasi cha Bilion 135 chini ya ufadhili wa Banki ya Dunia na Serikali ya Japan.
Hata hivyo amesema bado Serikali inaendelea kufanya jitihada za kuhakikisha Wakazi wa Wilaya ya Kigamboni na Temeke wanapata maji ya kutosha kupitia miradi mbalimbali inayoendelea.
Amewataka Wananchi ambao bado hawajaunganishwa na huduma ya Maji kufika Ofisi za DAWASCO ili waunganishiwe Maji bila malipo ambapo baada ya hapo watawekewa utaratibu wa malipo.


Hivyo makala TATIZO LA MAJI DAR ES SALAAM HUENDA LIKAWA HISTORIA IKIWA MIKAKATI HII ITATEKELEZWA

yaani makala yote TATIZO LA MAJI DAR ES SALAAM HUENDA LIKAWA HISTORIA IKIWA MIKAKATI HII ITATEKELEZWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TATIZO LA MAJI DAR ES SALAAM HUENDA LIKAWA HISTORIA IKIWA MIKAKATI HII ITATEKELEZWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/tatizo-la-maji-dar-es-salaam-huenda.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TATIZO LA MAJI DAR ES SALAAM HUENDA LIKAWA HISTORIA IKIWA MIKAKATI HII ITATEKELEZWA"

Post a Comment