TANZIA: DALALI MAARUFU WA MORO RAMSO AFARIKI DUNIA KATIKA AJARI MBAYA YA GARI

TANZIA: DALALI MAARUFU WA MORO RAMSO AFARIKI DUNIA KATIKA AJARI MBAYA YA GARI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANZIA: DALALI MAARUFU WA MORO RAMSO AFARIKI DUNIA KATIKA AJARI MBAYA YA GARI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANZIA: DALALI MAARUFU WA MORO RAMSO AFARIKI DUNIA KATIKA AJARI MBAYA YA GARI
kiungo : TANZIA: DALALI MAARUFU WA MORO RAMSO AFARIKI DUNIA KATIKA AJARI MBAYA YA GARI

soma pia


TANZIA: DALALI MAARUFU WA MORO RAMSO AFARIKI DUNIA KATIKA AJARI MBAYA YA GARI

Picha ya Misk Albert
Ramadhani enzi za Uhai wake.

TANZIA, MJI wa Morogoro asubuhi hii umegubikwa na simanzi nzito baada ya Dalali Maarufu wa Magari Mkoani Morogoroo Ramadhan kufariki duani katika ajari.

Dalali Rama ambaye pia ni mdau Mkubwa wa Mtandao wa Shekidele alikuwa akifanya shughuri zake za Udalali wa Magari Mtaa wa Shamba eneo la Maska katikati ya Mji wa Morogoro.

Juzi Mwandishi wa habari hizi alifika kwenye maskani hiyo ya Madalali kwa lengo la kupiga stori ambapo Rama alimtania Mwandishi huyo kwa kusema.

" Juzi nimeingia kwenye Mtandao wako nikaona habari ya mchezaji wa Mbeya City kukuliza buku 5 chukua gari hili  jaza mafuta twende Mbeya tumfuate atulipe buku 5 yetu"alisema Rama kwa utani
Muda huu Mwandishi wa Mtandao huu yuko eneo la Maska kwa lengo la kukusanya taarifa za Msiba huo mzito wa Mtoto wa Mujini hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote

Chanzo:Shekidele Blog


Hivyo makala TANZIA: DALALI MAARUFU WA MORO RAMSO AFARIKI DUNIA KATIKA AJARI MBAYA YA GARI

yaani makala yote TANZIA: DALALI MAARUFU WA MORO RAMSO AFARIKI DUNIA KATIKA AJARI MBAYA YA GARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: DALALI MAARUFU WA MORO RAMSO AFARIKI DUNIA KATIKA AJARI MBAYA YA GARI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/tanzia-dalali-maarufu-wa-moro-ramso.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TANZIA: DALALI MAARUFU WA MORO RAMSO AFARIKI DUNIA KATIKA AJARI MBAYA YA GARI"

Post a Comment