title : SIMBA IMEIFUNGA RUVU SHOOTING WIKI MOJA 7-0 BILA YA HURUMA
kiungo : SIMBA IMEIFUNGA RUVU SHOOTING WIKI MOJA 7-0 BILA YA HURUMA
SIMBA IMEIFUNGA RUVU SHOOTING WIKI MOJA 7-0 BILA YA HURUMA
Mshambuliaji Emmanuel Okwi ameifungia timu ya Simba SC bao nne katika ushindi wa bao 7-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika ufunguzi wa ligi kuu Tanzania bara msimu wa mwaka 2017/2018 katika uwanja wa taifa jijini Dar Es Salaam.
Mabao mengine ya Simba SC yalipachikwa wavuni na Shiza Kichuya, Juma Luizio na Erasto Nyoni na kuifanya klabu hiyo iliyokosa ubingwa ligi kuu Tanzania bara kwa misimu nne mfululizo.
Katika michezo mingine Mwadui FC iliilza Singida United bao 2-1, Ndanda ikapigwa bao 1-0 na Azam FC huku Mbao FC ikipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugarwakati Mtibwa Sugar ilitoshana nguvu mbele ya Stend United na Mbeya City FC yenye ilipata ushindi kwa kuifunga MajiMaji FC.
Hivyo makala SIMBA IMEIFUNGA RUVU SHOOTING WIKI MOJA 7-0 BILA YA HURUMA
yaani makala yote SIMBA IMEIFUNGA RUVU SHOOTING WIKI MOJA 7-0 BILA YA HURUMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA IMEIFUNGA RUVU SHOOTING WIKI MOJA 7-0 BILA YA HURUMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/simba-imeifunga-ruvu-shooting-wiki-moja.html
0 Response to "SIMBA IMEIFUNGA RUVU SHOOTING WIKI MOJA 7-0 BILA YA HURUMA"
Post a Comment