title : SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU 'TFF' LAOMBA RADHI KWA WANAFAMILIA WA SOKA NCHINI
kiungo : SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU 'TFF' LAOMBA RADHI KWA WANAFAMILIA WA SOKA NCHINI
SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU 'TFF' LAOMBA RADHI KWA WANAFAMILIA WA SOKA NCHINI
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), linaomba radhi wanafamilia wote wa mpira wa miguu kutokana na makosa ya maandishi yaliyoonekana kwenye utambulisho wa Ngao ya Jamii iliyotolewa Jumatano Agosti 23, 2017.
Ngao hiyo ilitolewa mara baada ya mchezo uliokutanisha timu za Simba SC na Yanga SC za Dar es Salaam kwenye Uwanja Mkuu wa Taifa jijini. Katika mchezo huo, Simba ilishinda kwa mikwaju ya penalti 5-4 dhidi ya Yanga na kutwaa Ngao hiyo.
Watanzania hususani wanafamilia ya mpira wa miguu popote pale, TFF hatujapokea vizuri mwonekana wenye makosa kwenye Ngao hiyo ya Jamii kama ambavyo wadau hawajapokea vema suala hili.
Kutokana na makosa hayo, Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, tayari amechukua hatua za kinidhamu kwa watumishi waliohusika kadhalika kuwasiliana na uongozi wa Simba SC kuirejesha Ngao hiyo ili kufanyiwa marekebisho yatakayobaki kwenye kumbukumbu sahihi.
Hatutegemei tukio kama hili kujirudia tena.
Hivyo makala SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU 'TFF' LAOMBA RADHI KWA WANAFAMILIA WA SOKA NCHINI
yaani makala yote SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU 'TFF' LAOMBA RADHI KWA WANAFAMILIA WA SOKA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU 'TFF' LAOMBA RADHI KWA WANAFAMILIA WA SOKA NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/shirikisho-la-mpira-wa-miguu-tff-laomba.html
0 Response to "SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU 'TFF' LAOMBA RADHI KWA WANAFAMILIA WA SOKA NCHINI"
Post a Comment