RIPOTI: MAAMBUKIZI YA MARADHI MALARIA YAPUNGUA KWA WASTANI WA ASILIMIA 50

RIPOTI: MAAMBUKIZI YA MARADHI MALARIA YAPUNGUA KWA WASTANI WA ASILIMIA 50 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RIPOTI: MAAMBUKIZI YA MARADHI MALARIA YAPUNGUA KWA WASTANI WA ASILIMIA 50, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RIPOTI: MAAMBUKIZI YA MARADHI MALARIA YAPUNGUA KWA WASTANI WA ASILIMIA 50
kiungo : RIPOTI: MAAMBUKIZI YA MARADHI MALARIA YAPUNGUA KWA WASTANI WA ASILIMIA 50

soma pia


RIPOTI: MAAMBUKIZI YA MARADHI MALARIA YAPUNGUA KWA WASTANI WA ASILIMIA 50

Ripoti ya Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ugonjwa wa Malaria hapa Nchini, inaonesha Kupungua kwa Maambukizi ya Maradhi Malaria Kwa Wastani wa asilimia 50 tangu Mwaka 2000.

Wakati Maambukizi yakionesha kupungua, inakadiriwa asilimia 90 ya Watanzania Wanaishi kwenye maeneo ambayo kuna maambukizi ya Ugonjwa wa Malaria.

 Kiongozi wa Uchunguzi na Matibabu kutoka Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria nchini, Dkt Sixbert   Mkude akizungumza na waandishi wa habari leo  Jijini Dar es Salaam amesema pamoja na ugonjwa wa Malaria umekuwa ni changamoto kwa sababu unazishambulia zaidi kaya masikini.
Dkt Sixbert  Mkude amesema udhibiti wa Malaria na vifo vinavyosababishwa na Mbu waenezao vimelea vya Ugonjwa ni kuendelea na mikakati ya kutokomeza maradhi hayo.

Kwa upande wake Kiongozi  Mdhibiti  wa Mbu aneezae  Malaria  kutoka Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria nchini, Charles Mwalimu amesema  Sababu zinazokwamisha jitihada za kuukabili ugonjwa huo , Ikiwemo jamii kuwa na mwitikio hasi kwenye matumizi ya afua zinazotolewa na Serikali.

“Mpango wa Taifa wa Kudhibiti ugonjwa wa Malaria nchini, mwaka huu Serikali imepanga kuendelea na kampeni ya kupulizia viutalifu ukoko Kwenye Baadhi ya Wilaya zilizopo kanda ya ziwa” amesema Mwalimu
 Kiongozi wa Uchunguzi na Matibabu  kutoka Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria nchini, Dkt Sixbert Mkude akizungumza  na waandishi wa habari leo jijini  Dar es Salaam juu ya Ugonjwa wa Malaria jinsi ulivyokuwa changamoto kwa sababu unazishambulia zaidi kaya masikini.
 Kiongozi  Mdhibiti  wa Mbu aenezae  Malaria  kutoka Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria nchini, Charles Mwalimu akizungumza na waandishi wa habari juu ya  kuendelea kufuatilia tabia, wingi, Aina, Uwepo wa vimelea na usugu wa mbu ili kupanga mikakati ya kuutokomeza ugonjwa huo.
 Wadau mbalimbali wa Afya wakifuatilia mada mbalimbali katika mkutano  uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.Picha zote na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.




Hivyo makala RIPOTI: MAAMBUKIZI YA MARADHI MALARIA YAPUNGUA KWA WASTANI WA ASILIMIA 50

yaani makala yote RIPOTI: MAAMBUKIZI YA MARADHI MALARIA YAPUNGUA KWA WASTANI WA ASILIMIA 50 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RIPOTI: MAAMBUKIZI YA MARADHI MALARIA YAPUNGUA KWA WASTANI WA ASILIMIA 50 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/ripoti-maambukizi-ya-maradhi-malaria.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RIPOTI: MAAMBUKIZI YA MARADHI MALARIA YAPUNGUA KWA WASTANI WA ASILIMIA 50"

Post a Comment