REAL MADRID YAIDUNGUA 2-0 BARCELONA NA KUCHUKUA UBINGWA WA SPANISH SUPER CUP

REAL MADRID YAIDUNGUA 2-0 BARCELONA NA KUCHUKUA UBINGWA WA SPANISH SUPER CUP - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa REAL MADRID YAIDUNGUA 2-0 BARCELONA NA KUCHUKUA UBINGWA WA SPANISH SUPER CUP, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : REAL MADRID YAIDUNGUA 2-0 BARCELONA NA KUCHUKUA UBINGWA WA SPANISH SUPER CUP
kiungo : REAL MADRID YAIDUNGUA 2-0 BARCELONA NA KUCHUKUA UBINGWA WA SPANISH SUPER CUP

soma pia


REAL MADRID YAIDUNGUA 2-0 BARCELONA NA KUCHUKUA UBINGWA WA SPANISH SUPER CUP

Mwambawahabari

DHYwJddXsAA6kq6
Real Madrid wameendeleza ubabe kwa mahasimu wao wakubwa Barcelona kwa kuwapa kipigo cha pili, safari hii ikiwa ni mabao 2-0 na kufanikiwa kubeba ubingwa wa Spanish Super Cup.
Madrid iliitwanga Barcelona kwa mabao 3-1 nyumbani kwao Camp Nou, Barcelona.
Bila ya mshambuliaji wake, Cristiano Ronaldo aliyelambwa kadi nyekundu katika mechi ya kwanza, Madrid imeshinda kwa idadi hiyo ikiwa nyumbani Santiago Bernabeu.
1502919289296_lc_galleryImage_MADRID_SPAIN_AUGUST_16_Ma
Marco Asensio alikuwa wa kwanza kuandika bao katika dakika ya nne tu ya mchezo na Karim Benzema akapachika la pili dakika ya 39 baada ya kumuibia mpira beki Samuel Umtiti wa Barcelona.
1911
Madrid imechukua ubingwa ikiwa na jumla ya mabao 5-1 baada ya ushindi wa mabao 3-1 ugenini Camp Nou.


Hivyo makala REAL MADRID YAIDUNGUA 2-0 BARCELONA NA KUCHUKUA UBINGWA WA SPANISH SUPER CUP

yaani makala yote REAL MADRID YAIDUNGUA 2-0 BARCELONA NA KUCHUKUA UBINGWA WA SPANISH SUPER CUP Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala REAL MADRID YAIDUNGUA 2-0 BARCELONA NA KUCHUKUA UBINGWA WA SPANISH SUPER CUP mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/real-madrid-yaidungua-2-0-barcelona-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "REAL MADRID YAIDUNGUA 2-0 BARCELONA NA KUCHUKUA UBINGWA WA SPANISH SUPER CUP"

Post a Comment