RC MAKONDA AWAGUSA WENYE MAHITAJI MAALUM.

RC MAKONDA AWAGUSA WENYE MAHITAJI MAALUM. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAKONDA AWAGUSA WENYE MAHITAJI MAALUM., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAKONDA AWAGUSA WENYE MAHITAJI MAALUM.
kiungo : RC MAKONDA AWAGUSA WENYE MAHITAJI MAALUM.

soma pia


RC MAKONDA AWAGUSA WENYE MAHITAJI MAALUM.

Mamia ya watu wenye Ulemavu wa Miguu wamejitokeza kwa wingi leo kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, kuchukuwa vipimo kwanajili ya kupatiwa Miguu bandia ambapo idadi imekuwa kubwa tofauti na ilivyo tarajiwa, huku wengine wakitokea Mikoani.

Mwitikio huo ni kufuatia Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh.Paul Makonda kuwatangazia wenye uhitaji ya Miguu Bandia kufika ofisini kwake kwa ajili kuchukuliwa vipimo ili wapatiwe miguu hiyo bila malipo, ambapo hadi saa nne asubuhi walemavu waliokuwa wamefika ni zaidi ya 500.

Makonda amesema licha ya idadi hiyo kuzidi ile ya watu 200 iliyokusudiwa atahakikisha wote wanapimwa na wataalamu na kupatiwa huduma bila ubaguzi wa Mikoa wanayotoka sababu wananchi wote wapo chini ya Rais Dkt.Magufuli.

Amesema wote watakaopimwa watatengenezewa Miguu yao kulingana na vipimo vilivyochukuliwa.Hata hivyo Makonda amesema kutokana na wingi wa watu wenye uhitaji ataongeza siku za upimaji na kuongeza idadi ya wataalamu ili wote watakaofika wahudumiwe.

Aidha amesema awamu hii ya kwanza walemavu 200 watapatiwa miguu ya bandia wakati akiendelea kufanya jitiada za kuwasiliana na wadau ili waweze kuchangia na kuhakikisha wananchi wote wanahudumiwa.

Mbali na miguu bandia pia Makonda amefanikiwa kupata Magongo ya kisasa 17 kutoka Nchini Marekani ambayo pia atayatoa bila malipo kwa wale wenye uhitaji.
 Baadhi ya watu wenye Ulemavu wa Miguu wakiwa wamejitokeza kwa wingi leo kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, kuchukuwa vipimo kwa ajili ya kupatiwa Miguu bandia ambapo idadi imekuwa kubwa tofauti na ilivyo tarajiwa, huku wengine wakitokea Mikoani.
Mkuu wa Mkoa  Mh.Paul Makonda akizungumza na baadhi ya watu wenye Ulemavu wa Miguu waliojitokeza kwa wingi leo kwenye Ofisi yake , kuchukuwa vipimo kwa ajili ya kupatiwa Miguu bandia ambapo idadi imekuwa kubwa tofauti na ilivyo tarajiwa, huku wengine wakitokea Mikoani.
Mkuu wa Mkoa  Mh.Paul Makonda akizungumza na mmoja wa  watu wenye Ulemavu wa Miguu waliojitokeza kwa wingi leo kwenye Ofisi yake , kuchukuwa vipimo kwa ajili ya kupatiwa Miguu bandia ambapo idadi imekuwa kubwa tofauti na ilivyo tarajiwa, huku wengine wakitokea Mikoani.


Hivyo makala RC MAKONDA AWAGUSA WENYE MAHITAJI MAALUM.

yaani makala yote RC MAKONDA AWAGUSA WENYE MAHITAJI MAALUM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA AWAGUSA WENYE MAHITAJI MAALUM. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rc-makonda-awagusa-wenye-mahitaji-maalum.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RC MAKONDA AWAGUSA WENYE MAHITAJI MAALUM."

Post a Comment