Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Aweka Jiwe la Msingi Skuli ya Chimba Micheweni Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Aweka Jiwe la Msingi Skuli ya Chimba Micheweni Pemba. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Aweka Jiwe la Msingi Skuli ya Chimba Micheweni Pemba., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Aweka Jiwe la Msingi Skuli ya Chimba Micheweni Pemba.
kiungo : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Aweka Jiwe la Msingi Skuli ya Chimba Micheweni Pemba.

soma pia


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Aweka Jiwe la Msingi Skuli ya Chimba Micheweni Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akifungua pazia kuweka jiwe la msingi ujenzi wa madarasa 4 ya kusomea na ofisi ya Walimu katika Skuli ya Chimba Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma walipokuwa wakisoma maandishi yaliyoandikwa mara baada ya  kuweka jiwe la msingi ujenzi wa madarasa 4 ya kusomea na Ofisi ya Walimu katika Skuli ya Chimba Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo
Baadhi ya Wanafunzi waliokuwa wakifurahia wakati walipomkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipowasili katika Skuli ya Chimba Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini pemba kiiweke jiwe la msingi Skuli hiyo,samba na ziara yake katika Wilaya ya hiyo kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma  alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kuzungumza na Wananchi na Wanafunzi wakati alipoweka jiwe la msingi  Skuli ya Chimba Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo jengo lenye madarasa 4,na Ofisi ya Walimu akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto pichani) alipokuwa akizungumza na Wananchi na Wanafunzi wakati alipoweka jiwe la msingi  Skuli ya Chimba Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo jengo lenye madarasa 4,na Ofisi ya Walimu akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo,[Picha na Ikulu.] 


Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Aweka Jiwe la Msingi Skuli ya Chimba Micheweni Pemba.

yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Aweka Jiwe la Msingi Skuli ya Chimba Micheweni Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Aweka Jiwe la Msingi Skuli ya Chimba Micheweni Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_24.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Aweka Jiwe la Msingi Skuli ya Chimba Micheweni Pemba."

Post a Comment